Single The Loner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 805
- 1,354
Apostle kuna muujiza huku.,.,Apostle Kumetokea Nini ?
Apostle kuna muujiza huku.,.,Apostle Kumetokea Nini ?
Kuruka midalahanje kumetosha na wewe ufanye uzae sasa.Hongera baba kachanga
Unaingizwaje kingi kindezi hivyo 😃Hii mbona kama setup ya kumuingiza ntu kingi.
Kunyooshwa mbona hakuna formula! Unashangaaa tu miti yote inateleza kumbe Nyani kaingia mfumo.Unaingizwaje kingi kindezi hivyo 😃
Unakuwa makini tu mkuuKunyooshwa mbona hakuna formula! Unashangaaa tu miti yote inateleza kumbe Nyani kaingia mfumo.
Weka akiba ya maneno mdogo wangu kuna watu hapa duniani akili yako ilipoishia yao ndo imeanzia hapo.Unakuwa makini tu mkuu
Dah sawa, kutapeliwa ni kugusa tu🤔Weka akiba ya maneno mdogo wangu kuna watu hapa duniani akili yako ilipoishia yao ndo imeanzia hapo.
Usipotapeliwa kwenye hela/uchumi, utatapeliwa kiimani, utatapeliwa kihisia/kimapenzi & aina zingine za utapeliDah sawa, kutapeliwa ni kugusa tu🤔
Bora utapeliwe pesa kuliko kutapeliwa kihisia aisee! Unateseka psychologically 😓Usipotapeliwa kwenye hela/uchumi, utatapeliwa kiimani, utatapeliwa kihisia/kimapenzi & aina zingine za utapeli
Utapeli ni utapeli, raha ya utapeli wa kihisia upigwe tukio katika namna ambayo huwezi kufanya comeback.Bora utapeliwe pesa kuliko kutapeliwa kihisia aisee! Unateseka psychologically 😓
Ukitoka hapo aah wanaume wote ni umbwaa, wanawake wote marlaya😆Utapeli ni utapeli, raha ya utapeli wa kihisia upigwe tukio katika namna ambayo huwezi kufanya comeback.
Njoo tuzae mahi, 😂😂😂Kuruka midalahanje kumetosha na wewe ufanye uzae sasa.
😂😂nipe namimi hongera za baba kakomavu...😅