Recent content by single father

  1. single father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimediriki kukataa Ndoa

    Dalili ya ushoga
  2. single father

    JamiiForums Tanzania Bila uchawi wa kurudisha basi reverse, Simba ingefungwa O-1O

    Dah simba wangese sana wamenilaza macho
  3. single father

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kiroho

    Kwako Rakims na wajuzi wengine, Swali langu ni kwamba, mke wangu anajambo linamsumbua sana. Iko hivi, anafika sehem kwa mara ya kwanza halafu anakuwa kama alishawai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa. Sasa juzi imekuwa ni zaidi, yaani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na...
  4. single father

    JamiiForums Tanzania Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    Kwako Rakims Swali langu ni kwamba mke wangu anajambo linamsumbua sana iko hivi anafika sehem kwa mara ya kwanza alafu anakuwa kama alisha wai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa Sasa juzi imekuwa ni zaidi yani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na hakuwa najua ile sehem ila...
  5. single father

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Binafsi niko Tanga inawezeka tena vizuri tu na huwa tunasafiri kwa hiyo njia kwa sasa vumbi iko hivi TANGA JIJI HADI HANDENI NI LAMI HANDENI HADI KILINDI NI VUMBI KILINDI UNAENDA KAMA Kilomita kadhaa kama unaenda TURIANI ILA HUFIKI TOWN KUNA SEHEM UNACHEPUKA UNAINGIA KONDOA HADI HAPO TUKO PAMOJA
  6. single father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimrudie au nifanye nini?

    Kijana wa hovyo sana
  7. single father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kazidi mizaha

    Babu we ndo mwenye shida,mke unaongea na anacheka kwa utani unakasirika we unataka maisha gani haya kaowe mbuzi basi
  8. single father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume wa kunioa

    Asa mtu ataishije bila tako au una wenge
  9. single father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video ya dada wa Tanga ilivyonishangaza

    Babu mi nipo bonde mji wetu huu naujua vizuri sana 90% girls wana huo mchezo
  10. single father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi Mzee wa "USIOE" mapenzi yamenishinda, siyo kwa kununa huku kwa wanawake

    Cha msingi unapewa mbunye sioni tabu we ukiwa na ham mcheki piga show sepa tafuta mke mwenye unaweza taniana nae maisha yaende,
  11. single father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningejua nisingewalea watoto wangu wa kufikia. Najuta!

    Tea masala
  12. single father

    JamiiForums Tanzania Chongolo Mgeni Rasmi kikao cha Wakuu wa Shule za umoja wa wazazi Tanzania

    NA NYINGINE ZIMEKUFA KABISA HAZINA WANAFUNZI YAMEBAKI MAJENGO TU YANI HATA KUKODISHA TU INASHINDIKANA KAMA TUMESHINDWA TUTAFUTE MUWEKEZAJI
  13. single father

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO NEWALA DC SHULE IPO JIRANI NA NEWALA TC MIMI NAISHI TOWN NAENDA NA KURUDI WESE LA PIKPIK LA 2,000 TU MIMI NIJE MUHEZA DC IDARA YA MSINGI 0653 849 328
  14. single father

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahisi natapeliwa

    Watu wenyewe ndo hao hapo
Back
Top Bottom