single father
Member
- Oct 22, 2019
- 76
- 117
- Thread starter
- #21
Watu wenyewe ndo hao hapo
Kutoa fungu la kumi mwisho lini?Kuna hawa jamaa wameibuka sina hakika ni lini wamekuwa wakinishawishi mara kwa mara kwamba naweza piga hela kwa kutumia simu janja yangu yani niki watch YouTube video na ku upload status napata hela sasa bhana nimetuma 50,000 yangu halafu tokea jana nakesha na watch video YouTube lakini sipati hiyo faida
Kwa anaye wajua tafadhali anieleweshe
Onesha ushahidi wa muamala uliotuma acha kutuchezea hapaKuna hawa jamaa wameibuka sina hakika ni lini wamekuwa wakinishawishi mara kwa mara kwamba naweza piga hela kwa kutumia simu janja yangu yani niki watch YouTube video na ku upload status napata hela sasa bhana nimetuma 50,000 yangu halafu tokea jana nakesha na watch video YouTube lakini sipati hiyo faida
Kwa anaye wajua tafadhali anieleweshe
Hapo ndo Jamaa hua wananiacha Hoi yani…they exactly know hakuna tume Huru lakin kila baada ya miaka mitano wanakuwa na matarajio ya kushika Dola😀😀😀…Bora Dkt Bashiru alietumia Dola kubaki kwenye Dola😆😆Bila shaka utakua mwanachadema maana ndio kila uchaguzi wanakua na ndoto ya kushika dola wanaishia kuwa na za kimarekani tu
Niache bhana☺️
Tuma elfu 50 nyingine uzidi kujiongezea chance ya Kupata mamilioni.Mi nilipewa uhakika kabisa na niliona watu wamepiga hela
Kweli dunia haaishi vituko, sasa unapataje faida bila kufanya kazi? Au hapo kazi ni kuangalia hizo videos?Watu wenyewe ndo hao hapoView attachment 2279786
back to square oneSingle Father umenikumbusha miaka ya Nyuma walimu wa Vijijini walikua wakistaafu wakilipwa Pension zao wanachukua zile briefcase 💼 wanaweka hela wanazunguka nazo mitaani..ela zikikaribia kuisha wanaanza kufanya biashaea ya kukopesha kwa Riba then wakopaji wote wanapotea na ela mwisho wa siku mtu anabaki anafanya vibarua😀
Hela wanapiga wao au wewe? Piga hela kabla ya kutoa, la sivyo wao ndio watakaopiga hela.Kuna hawa jamaa wameibuka sina hakika ni lini wamekuwa wakinishawishi mara kwa mara kwamba naweza piga hela kwa kutumia simu janja yangu yani niki watch YouTube video na ku upload status napata hela sasa bhana nimetuma 50,000 yangu halafu tokea jana nakesha na watch video YouTube lakini sipati hiyo faida
Kwa anaye wajua tafadhali anieleweshe
Michepuko yako inaendeleaje??Bila shaka utakua mwanachadema maana ndio kila uchaguzi wanakua na ndoto ya kushika dola wanaishia kuwa na za kimarekani tu
Mambo shwari kabisa mkuu.Michepuko yako inaendeleaje??
Umesolve!?