SERIKALI jana ilitoa majibu mapya yenye ufafanuzi wa kina kwa swali lililojibiwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga ambalo pamoja na masuala mengine, limeeleza mkakati wa serikali kujenga nyumba zaidi ya 9,000 kwa ajili ya askari Magereza na Polisi.
Naibu Waziri wa...
Maoni yangu.
Kwa kasi hii ya Magufuli, CHADEMA wanapaswa kubadili siasa zao waache kufanya siasa za matukio, wafanye siasa za maendeleo katika majimbo wanayoongoza. Lasivyo wataisoma namba zaidi 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara...
Serikali imefanikiwa kuwaunganisha Watanzania wanaotafuta kazi wapatao 20,000 ikiwa ni moja ya hatua ya kupunguza tatizo la ajira nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Msemai wa Wakala wa Huduma za Ajira nchini (TaESA) Bi Jamila Mbarouk wakati wa mkutano na vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam...
JUZI Rais John Magufuli alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga kutokana kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara hiyo akiwa amelewa.
Suala la mtu mwenye dhamana kubwa kama Kitwanga, la wizara inayogusa usalama wa watu na mali zao, kuingia katika...
JAMII ya Watanzania imetakiwa kujifunza sura za Rais John Magufuli, kutokana na hatua yake ya kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga.
Akizungumza na gazeti hili jana kuhusu hatua hiyo ya Rais Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 21 kwa benki zilizokuwa zikitumika kuweka mishahara ya watumishi hewa, kurejesha fedha hizo serikalini ; au kubainisha waliokuwa wakitumia akaunti hizo, kuchukua fedha.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Makonda alisema benki ndio...
Kama unashangaa kusikia kwamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga kutimuliwa kwa sababu ya ulevi.
Bila shaka utachoka zaidi ukisikia kuwa kuna Wabunge huingia Bungeni wakiwa wamevuta Bangi na Madawa ya Kulevya.
Spika wa Bunge Job ndugai amefichua siri hiyo, Spika Ndugai...
Mbona huyo kajulikana bila bunge livwe, kuna mbunge mmoja wa upinzani kutoka mbeya ni chapombe huyo balaa, dereva wake hupata tabu sana kudeki matapishi ktk gari. ,vikiwekwa hivi vifaa hachomoki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.