singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hongera jwtz na vyombo vingine vya usalama kwa kutuhakikisha tunaishi kwa utulivu na amani
Hawa Majamaa watakuwapo humu njini Kuna viashiriaHii nchi inavichekesho sana,hivi si majuzi kuna kiongozi mmoja wa jeshi la polisi alikanusha kuwa hakuna alshabab kule kwenye mapango?na hao alishabab mziki wao tutauweza kweli?
al shabab au isis, si waliweka na bendera yao.
Haya magazeti niaje
Ni bora kujiandaa Hawa jamaa wanapenya wanahadaa watu na vimisaada wanashinda wakijifunza judo huku mtaaniHuu ujinga wa mleta mada sijui ataacha? Huwezi kwenda kwa wauza magazeti na kupiga picha na kuanzisha thread.
Huu ni uhuni au utoto
Vita vya kustukizana sisi hatuwezi watatumaliza sana, maana wenzetu Kenya sasa wako on high alert full time sisi vijijini huko wanadanganywa sana na kuwaficha wageni! Watatuchapa hadi tusepe poo...huwezi enda kenya ukafichwa hata iweje! Tusiombe na kushabikia hao sio watu wazuri wanaharibu miundombinu tunaanz upya hapa tu miaka 56 bado hatuja settle kabisa!!
acheni uchochezi..there is nothing like thatHawa Majamaa watakuwapo humu njini Kuna viashiria
Alshabaab sio wajinga wa kushambulia kila nchi bila sababu ya maana. Na wakifanya hivyo wanajiongezea maadui, mashambulizi na kubanwa zaidi. Jambo hili hata wew ungekuwa Alshabaab usingelitaka
Wasomali wana bifu na Kenya ya miaka na miaka. Tanzania hatuna bifu nao
Alshabaab ni rahis na gharama ndogo kuipiga Kenya na sio Tanzania kwa kuangalia pamoja na mambo mengne umbali kati ya Somalia na Tanzania. Tanzania ni mbali kutoka Somalia. Kenya wamepakana nayo
Wakishaipiga Kenya ni rahis kwao kukimbilia Somalia kujificha au kuhifadhiwa na Wasomali wenzao waliojazana Kenya - kumbuka kuna Wasomali wengi sana ambao ni Wakenya.
Na usidharau jeshi letu kihivyo. Lipo na Lina uwezo wa kukabiliana na changamoto zote japo hakuna aombeae hizi changamoto zitokeee

Mkuu sema polepole yasije yakatusikia! Hao hawakuwa alshabaab bali walevi wa ulanzi tu!