Recent content by sinforosa

  1. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Star tiiiiiiimes suuuuuucks

    Tangu wamahamia makongo na TV nimeweka store. maana no signal no service. Wanatunyima haki yetu ya kupata habari na serekali yetu isiyosikia imekaa kimya!!!!!!!!!! hayawahusu wao wana DSTV. tutajiju na umaskini wetu.
  2. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Kila anayenitongoza namzidi umri

    Shost mbona km mm nina mkasa huo huo, wengi nawazidi miaka 8 mpaka 12. lkn kwangu nahisi ni kwasababu ya Umbo dogo lkn kwa sababu ya kauwezo wengine wanafata kulelewa kama alivyosuggest member hapo juu. mmh kazi ipo!
  3. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Mengi ataka wakristo waache waislam wachinje!

    Si hatuna tabu ila wasibague vya kuchinja maana sisi twataka watuchinjie zaidi KITIMOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ!
  4. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kushinda whatsapp online

    Au kwavile ameandika ni mfanyabiashara? au wachaga wanawake ndo wamejiunga watsup?
  5. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Airtel kubadilika tena!!!

    wahindi wamechemsha mara hii.
  6. sinforosa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Retreat ya kesho Moshi hizi ndio dondoo za kitakacho jadiliwa

    Ni kweli cha msingi ni kuhakikisha chama chetu kinaendelea na kuwa imara hasa baada ya kuwashuhudia New year kule Monduli kama ni wepesi kama karatasi.
  7. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Baraza la kata ya Mzimuni Magomeni limekithiri kwa Rushwa.

    Viongozi wahusika mpooooooooo ? Ikiwezekana libatilishwe na kuundwa baraza Lingine litakalokuwa kwa ajili ya wananchi wa kata ya Mzimuni na si kwa ajili ya maslahi ya watu fulani na hasa wa wachama tawala na kuwanyima haki wananchi wengine kwa kuangalia itikadi na vyama na uwezo wao.
  8. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Asante mzizimkavu kwa kutujali wakinadada. ila hapo kwenye 1-10, umeniacha, please nifafanulie!
  9. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Kiti cha Kikwete na miujiza yake

    Ni kweli mi mwenyewe nilishuhudia alipoenda kwenye ufunguzi wa upanuzi wa kiwanda cha saruji, Wazo. alipokuwa akiondoka mbebaji alikimbia nacho kidogo adondoke maana gari inayokibeba inakuwa mbele kwenye msafara. Uchawi mtupu.
  10. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Maujanja ya Computer (Must read)-No 5:

    Asante mkuu, elimu haina mwisho.
  11. sinforosa

    JamiiForums Tanzania natafuta friend wa kike wa kuchat nae

    Mimi hapa.
  12. sinforosa

    JamiiForums Tanzania The ONE thing you Love Most!

    utajuaje km ndiye? Embu jielezee basiiii.....!
  13. sinforosa

    JamiiForums Tanzania The ONE thing you Love Most!

    Ucheshi wangu.
  14. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Simu simu simu

    Naomba uni PM Bei ya NOKIA C2-02!
  15. sinforosa

    JamiiForums Tanzania Mwana JF mwenzangu uko wapi muda huu?

    Magomeni mapipa nauza duka. Na maji ya Ilala. Karibuni wana JF.
Back
Top Bottom