Recent content by Sinewy

  1. Sinewy

    Mzee Makamba Pole sana

    Anaandaliwa kuwa katibu wa chama baada ya uchaguzi
  2. Sinewy

    Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Namjua aliwahi kuwa dereva wa TRA shinyanga kabla ya kuhamishiwa Dar, hayo mengine ni siri yake
  3. Sinewy

    Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

    Huyu akilazwa hospitali wiki utasikia michango ya matibabu
  4. Sinewy

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    OPINIONOPINION, Opinions|Russia-Ukraine war Western media and the war on truth in Ukraine Deception is at the heart of all warfare. Marwan Bishara Senior political analyst at Al Jazeera. NIMECOPY Published On 4 Aug 20224 Aug 2022 Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy speaks to the media as...
  5. Sinewy

    Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

    Makonda ni kama nani hapo
  6. Sinewy

    WALIMU WANAHITAJIKA HARAKA (NAFASI 6)

    Ukiwapigia sim wanasema ni kaizerege ya bukoba halafu huyu anasema twende dar
  7. Sinewy

    Mageuzi makubwa sana

    Photo duka angalia vizuri
  8. Sinewy

    Kwa wale mnaotafuta kazi, soma uzi huu

    Kama wewe ndio iliwafanyia interview hata kuandika tuuu hujui hiyo kampuni ni uhuni mtupu!! Mbaya zaidi wewe uliingia bila hata interview
  9. Sinewy

    RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Sio kweli labda kama list imetoka upya hakuna mwalim wa art au lugha hata mmoja
  10. Sinewy

    RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Sio ya mwaka jana kweli haya
  11. Sinewy

    RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Huu ni uhuni kabisa aiseeee
  12. Sinewy

    Kwanini Diamond hashindi tuzo kwa sasa

    Ila wabongo mko vizuri sana yaani unaongea kama vile unaishi marekani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sinewy

    Hali ya hewa: Mvua zitakuwa chache hivyo wakulima walime mazao ya muda mfupi

    Tanzania ipo kwenye inter tropical convergence zone ambapo hali ya hewa huwa sio rahisi kuitabiri tofauti na maeneo mengine ya dunia ambapo unaweza kutabiri hali ya hewa ya mwezi mzima na kukawa na tofauti ndogo sana lakini kwa maeneo ya ikweta sio rahisi kutabiri, Lakini pia tatizo sio wataalam...
Back
Top Bottom