RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

Alfu hizi ASTASHAHADA, STASHAHADA NA SHAHADA... ! Zikoje zikoje hapo. Degree, diploma na certificate ni ipi hapo..msaada mwenye uelewa??
 
Vijana wakienda somalia na libya kama yule jamaa wa juzi YB ghostZone wataitwa majina ya ajabu
 
Duuu accounting and geography !!!

History and accounting sijui wamesoma comb gani hawa,

Au chuo sijui wamesoma koz gani
 
Duuu kuna haja ya serikali kuajiri walimu wote wa arts hata kama kwa kila darasa kua na walimu wa masomo yao tu huku wakidhibit idadi ya waendao vyuo vikuu kwa sasa kusomea ualimu ama kutenga vyuo maalum na vichache.Kwa sasa mwalimu ulomsomesha na kisha kumuacha mtaani kisa kuna vipaumbele vyenu,hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.Waajirini wote maana idadi imekua kubwa sana kufikia stage ya kuanza kudharaulika kwa kada husika.Waziri wa Tamisemi angalia hili kwa jicho la upekee sana
 
Sasa tangazo la ajira kwa nini liliwataka hata waalim wa Arts shahada watume maombi?

Kuna jamaa yangu alimaliza 2016 ila hakuwa amechukua cheti so ikamtoka laki nzima ya ghafla kufuata chet chuon.
Hii wanaita "imekula kwa tajiri".
 
Mkuu mbona walimu wa arts wamepata pia History,Kiswahili n.k

Sasa tangazo la ajira kwa nini liliwataka hata waalim wa Arts shahada watume maombi?

Kuna jamaa yangu alimaliza 2016 ila hakuwa amechukua cheti so ikamtoka laki nzima ya ghafla kufuata chet chuon.
 
Sasa tangazo la ajira kwa nini liliwataka hata waalim wa Arts shahada watume maombi?

Kuna jamaa yangu alimaliza 2016 ila hakuwa amechukua cheti so ikamtoka laki nzima ya ghafla kufuata chet chuon.
sasa hata kuchukua cheti unaleta lawama??nayo ni kazi ya magufuli hiyo?[emoji23][emoji23]wabongo bhana,mtu unamaliza chuo halafu huchukui cheti,sasa ulienda kufanya nini chuoni? Nonsense kabisa!
 
Back
Top Bottom