Niliwahi kuona tukio kama hilo Muhimbili, nilipouliza kulikoni nikaambiwa kuwa imegundulika wanawake wanaoiba watoto hospitalini huvaa hizo niqab. So ndio kuna hilo katazo. Lakini ingekuwa vyema kama wangeweka tangazo ili kuepusha hali kama hiyo iliyotea Iringa.
Imekuwa bahati mbaya sana ili uwe Mwanasiasa hapa kwetu lazima uwe muongo, mbabe, mjivuni na kila sifa mbaya. Mzee Mohamed Said ni mwandishi tu. Allah akubaarik Mzee
It sounds good, vijana, wazee, wanawake na watu wote tuseme tusiogope. Sisi hatujawakopesha kofia CCM ila tumewakopesha kura zetu hivyo tupo sawa na Eric, TUPAZE SAUTI
Nimecheka sana hasa huyo jamaa wa mnara anaitwa 'sumu' ila mi naona huyu jamaa Lusting anazidiwa na hawa Wanasiasa wetu, maana pamoja na kututapeli kila baada ya miaka 5 bado tunawakubali tu, tumekuwa kama Al Capone!
Mie namfananisha Mr.president na dereva mwenye hamu na shauku kubwa ya kuwafikisha abiria wake salama salimini tena kwa haraka lkn dereva huyu hazingatii kabisa sheria ya barabara. Sasa heri atufikishe salama tutampongeza sana na bila shaka tutapanda gari yake safari nyingine lakini akitubwaga...
Watz tuna maneno miiingi, mleta habari fanya hima ulete jukwaani no ya simu au namna nyingine yoyote tuwasaidie ndugu zetu goerge na kaya yake. Na bila ya shaka yoyote tutalipwa na YEYE ambae hapotezi ujira
The name of the first slave ships to kidnap Black folks from Africa was the Mother Mary and The Good Ship Jesus. The logo in front of The Good Ship Jesus was two Africans bound back to back. The head of all Christian churches, the Pope, said that your ancestors were infidels and it was the white...
Mtanganyika ananikumbusha kisa kimoja, jamaa anaambiwa na wazee kuwa huyu si baba yako mzazi, babako ni fulani. maana mama yako aliolewa na huyu mzee hali ya kuwa wewe umtoto mchanga, jamaa kang'ang'ania hakubali lolote! Kumbe ikaja julikana jamaa alikuwa akiudharau sana ukoo wa yule babake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.