Recent content by sinani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wauza mafuta kugoma

    Hawa jamaa hiyo Ndo itakuwa hoka yao kubwa u jus wait n see
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Kanifichia paja!!!

    kosa ni kutouliza pale ulipopewa paja na mama yako..ulitakiwa baada ya kusema asante umuulize mbn jana nilikula mboga sikunyimwa??na pia jitahidi ufanye ufanyavyo urudishe uhusiano wa mkeo na mama yako km awali ukiacha mambo km yalivyo sasa am sure utarudi na stori nyingine soon kuwa...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Hii ni Kweli?

    true mpwa thats definetely true
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utoaji wa Mimba na gharama ya mapenzi

    mkuu MM hiii ni true story au ni ubunifu wako wa utunzi wa kila siku???
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    kaka upo juu,yalozungumzwa bi kweli tupu wanajamii wenzagu,hamna kitu kizuri kama kumjua mpenzi wako na kuujua mwili wako pia kwani kwa kufanya ivo mtafikishana hata kule ambapo hamjawahi kufikishana
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taa izimwe isizimwe?

    utamu na raha ya chakula ukione wakati unakila,ukione kinafananaje..kula gizani ndo mwanzo wa kula visivyoliwa jamani
  7. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Asante sana maalim. Hiii ni dahwa haswa... Tuko pamoja. ================== Asali na Tangawizi ================== ==================== Dawa ya kikohozi kwa kuchanganya Asali na yai la Kienyeji Asali weka kijiko 1 na changanya na yai la kuku wa kienyeji moja kunywa asubuhi kabla ya kula...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lies we love to tell

    Sometimes hawa viumbe wenzetu tukiwapa ukweli ndo inakuwa umejichongea na uhusiano unaeza usiwepo baada ya mda mfupi ila ukipiga zuga mbili tatu za kutunga na uongo mwingi yani hapo ndo umekuwa umewapatia sana unawakoleza ile mbaya...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ideas for valentine's day gift

    mkuu unaona mbali sana...big up
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simwelewi mpenzi wangu

    dah hapo hasheem kuna walakin huyo mpenzi wako atakuwa ana mtu mwingine ila anashindwa kukuacha kwa sababu anajua unampenda sana kwa ana-take advantage ya hiyo situation kunufaika nawe kwa namna flani flani moyo wake upo kwa mtu mwingine...kuwa mwangalifu utakuja kuumia sana maishani mwako
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je Unabisha??

    ni ukweli usiopingika kuwa wanawake ni balaa,sio kwamba wanaume hatumo ila wenzetu wametuzidi kete
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huzuni: ameolewa, ni miaka 10 sasa lakini hajawahi kufika kileleni

    Jamani huu ni uwanja wa mawazo na kusaidiana,tangu mwanzo watu hawatoi solution ya tatizo zaidi ya kuleta mzaha...mm kwa mawazo yangu naona huyu mwanamama akae na mzee wake amwambie kinachomsibu na wajaribu kuangalia kamasutra,wajifunze mimbinu na miujanja ya kuduu.....
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    jamani mimi naamini shule aliyotoa chimunguru inatosha kabisa,ukiipuuzia unamegewa sasa hivi maanake huyo mwenzi wako inaonyesha ashaonja raha ya kurambwa hapo awali sasa amemiss....mpe haki yake....KUMBUKA MAPENZI NI UCHAFU
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MARRIAGE IS ALMOST HERE,but kazi za nje hazitaki kuelewa!NIENDELEE AU NISIENDELE NAO?

    Dah mpwa kazi ipo....kama umeamua kufuta past na kuanza afresh basi naamini haitakuwa ngumu kwako kufanya maamuzi sahihi,piga moyo konde vitisho visikutetereshe mpwa weka msimamo songa mbele
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za sex kwa mwanamke....

    waswahili bana,ivi we bata ni lazima kusoma thread za mapenzi?kama kwako suala hili sio muhimu basi soma thread nyingine mbona zipo nyingi tu haya ya huku tuachie wenyewe.....mimi nafikiri si bure huyu jamaa kuna kitu anataka toka kwa mtoa mada wetu labda aulizwe hii ni dunia ya ukweli na...
Back
Top Bottom