Ideas for valentine's day gift

kui

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,473
Likes
5,145
Points
280
kui

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,473 5,145 280
...dinner and a movie, chocolate covered fruits (mh! yummy), lots of roses but, how bout giving """JUST YOURSELVES""" to each other and no material thing? go somewhere, spend some good time and many more.....
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
81,995
Likes
49,124
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
81,995 49,124 280
To me, if you love someone, then everyday should be valentine's day. There shouldn't just be one single day set aside for it. That's why I think this crap called valentine's day is just another nonsensical capitalistic creation aimed at exploiting the naivette of the naive.
 
kui

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,473
Likes
5,145
Points
280
kui

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,473 5,145 280
To me, if you love someone, then everyday should be valentine's day. There shouldn't just be one single day set aside for it. That's why I think this crap called valentine's day is just another nonsensical capitalistic creation aimed at exploiting the naivette of the naive.
lol!...sawa mkuu, nimekubali 100%
 
S

sinani

Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
36
Likes
0
Points
13
S

sinani

Member
Joined Jun 15, 2009
36 0 13
To me, if you love someone, then everyday should be valentine's day. There shouldn't just be one single day set aside for it. That's why I think this crap called valentine's day is just another nonsensical capitalistic creation aimed at exploiting the naivette of the naive.
mkuu unaona mbali sana...big up
 
C

Chupaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2008
Messages
1,087
Likes
241
Points
160
C

Chupaku

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2008
1,087 241 160
Ni ujinga tu huu. Ni kudanganyana tu. Kuna watu wanajidai wanapendana halafu siku ya valentine mtu anapata chocolate au maua matano, shame!
 
GP

GP

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Messages
2,070
Likes
21
Points
135
GP

GP

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2009
2,070 21 135
jama valentine sio kwa 'mapenzi ya kilimo kwanza', show love kwa yatima, wajane, watoto waishio katika mazingira magumu, baba yako, mama yako, dada yako etc!!.
utakuta mtu kanunua mijizawadi kwa ajili ya demu au hawara wakati mama yake mzazi hajawai kumnunulia hata kanga ya ktm mbagala, lols.
 
Sipo

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
2,146
Likes
41
Points
0
Sipo

Sipo

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
2,146 41 0
...dinner and a movie, chocolate covered fruits (mh! yummy), lots of roses but, how bout giving """JUST YOURSELVES""" to each other and no material thing? go somewhere, spend some good time and many more.....
Jitahidi pia kuwapelekea yatima, wazee wasiojiweza, wagonjwa waathirika wa UKIMWI, Malaria etc etc, waathirika wa mabomu, waathirika wa mafuriko, nina uhakika valentine yako itakuwa nzuri na ya kupendeza na utakuwa na furaaha na amani

Sikupingi kwenye kumfanyia mpenzio, nduguyo, rafikizo ila na hao usiowajua lakini wenye mahitaji wakipata na haya MUNGU atakubariki kama una imani

Mbarikiwe wote
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,369
Likes
1,295
Points
280
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,369 1,295 280
A NGONO DAY, biashara kwa wenye guest house, i dont buy it.
 
kui

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,473
Likes
5,145
Points
280
kui

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,473 5,145 280
Jitahidi pia kuwapelekea yatima, wazee wasiojiweza, wagonjwa waathirika wa UKIMWI, Malaria etc etc, waathirika wa mabomu, waathirika wa mafuriko, nina uhakika valentine yako itakuwa nzuri na ya kupendeza na utakuwa na furaaha na amani

Sikupingi kwenye kumfanyia mpenzio, nduguyo, rafikizo ila na hao usiowajua lakini wenye mahitaji wakipata na haya MUNGU atakubariki kama una imani

Mbarikiwe wote
Very true ndugu, I think we've been somehow selfish, to just spend time with those we only know or those who're close to us but, instead, we should really concentrate on spreading love to especially those in need, those who don't have anybody to show them love. Ubarikiwe na wewe pia.
 
Forum statistics

Threads 1,250,457
Members 481,354
Posts 29,733,903