Kwa zaidi ya wiki tatu sasa kumekuwa na tatizo kubwa la umeme katika jengo hili.
NSSF Hifadhi house, ipo makutano ya barbara ya Samora na Azikiwe likitazamana na mnara wa askari.
Jengo hili lipo mahali pazuri sana kibiashara, pia ni barbara maarufu za kibiashara hizi.
Jambo la kusikitisha ni...
NBAA itashindwa kuandaa mitihani kwaajili ya wanafunzi wanaosomea uhasibu ifikapo Julai 2018 kama wajumbe wa bodi yake ya uongozi hawatakuwa wameteuliwa na waziri mwenye dhamana.
Kwa namna isiyo ya kawaida, majibu ya wanafunzi wa uhasibu waliofanya mitihani yao mwezi Novemba 2017 hayakuweza...
NBAA itashindwa kuandaa mitihani kwaajili ya wanafunzi wanaosomea uhasibu ifikapo Julai 2018 kama wajumbe wa bodi yake ya uongozi hawatakuwa wameteuliwa na waziri mwenye dhamana.
Kwa namna isiyo ya kawaida, majibu ya wanafunzi wa uhasibu waliofanya mitihani yao mwezi Novemba 2017 hayakuweza...
Kuna baadhi ya misikiti inafanya mahubiri kupitia loud speakers hivyo hivyo. Achana na ile ya kuita watu kwa sala.
Pia hata hayo matangazo ya kuwaita watu waende misikitini kama yanakuwa maeneo yenye misikiti kila mahali, inakuwa ni usumbufu kwa wale ambao sio waislam. Kwamfano Zanzibar misikiti...
Na wewe habari hizi umezipata wapi, wakati mkurugenzi wa station anasema tofauti. Kabla ya kuandika uzi hakikisha una uhakika na kitu unachokiandika. Mi nashauri uzi huu unatakiwa uondolewe. Hauna mashiko.
Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa taharuki baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.
Mkononi...
Miaka 27 bado msichana mbichi kabisa. Amka endelea na maisha yako. Jirembe, jipende, endelea kupenda, utapata mume wa ndoto zako. Endelea na maisha kama kuolewa hakupo, lakini penda kama unataka kuolewa kesho. Jiendeleze kielimu, toka nje na marafiki, nenda nyumba za ibada. Be good.
Huyo dada uliyemtaja ana uchungu sana na hiyo maktaba. Lakini bahati mbaya inavyoonekana wenye mawazo kama yake ni yeye pekeyake.
Always anajaribu kutafuta solution, kwa uwezo ulioko katika mamlaka yake. Lakini kutoka hapo kwake kwenda juu ni tatizo sugu. Ukienda kwa mkurugenzi huwezi hata...
Naipenda sana maktaba yetu. Lakini kitendo cha kukataza watu wenye magari kuingiza ndani kimeishusha hadhi na kuifanya labda ya wanafunzi wa shule ambao hawawezi kumudu magari. Sasa inabidi kama umekuja maktaba utafute sehemu ya kuegesha gari lako kisha uende pale kwa miguu au ukaegeshe mitaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.