Recent content by Simon Mkirene

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tovuti 13 kwa ajili ya movie streaming bure

    Zimeishaaa au bado kuna part two!?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vionjo vya kuvunja mbavu kutoka kwenye movies

    Mhhhhh
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe afungua kampeni ya uchaguzi kata ya Serengeti

    Mi ni mwana-CCM dam kabisaa mkuu ila kama ujuavyo Mungu alituumba tofauti sana sisi binadamu kwahiyo ukiniona wakati mwingine 'kama naipondea' CCM basi ni katika kurekebisha na si kuharibu kama wale jamaa wa upande ulee. Siwezi kuwa mpinzani nikashikiwa akili hata siku moja, ni bora nihame...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe afungua kampeni ya uchaguzi kata ya Serengeti

    Bila shaka
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe afungua kampeni ya uchaguzi kata ya Serengeti

    Tupo wengi tu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania, Mbona gharama za passport zimepanda Sana

    Acha uongo we jamaa, lini ilikuwa passport miaka mitano??? Usikute unaropoka hapa hata hiyo passport yenyewe huna.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ubora wa simu janja (smartphone)

    Very good!
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wengi waliofikia umri wa kuolewa na hawajaolewa kwa asilimia kubwa wako frustrated ni warahisi sana kukasirika

    Equation x, Kweli mkuu wako frustrated mnoo halafu wenyewe wanajikaza kisabuni mbele ya kadamnasi eti "kwani kuolewa lazima?" Huku deepdown they are craving for it na ndio maana wamegeuka kuwa mitaji ya waganga wa kienyeji. Hivi ushawahi jiuliza kwanini waganga wa mapenzi siku hizi wako wengi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Naomba jina la angalau muvi moja ya huyu jamaa mkuu plz
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mossad foiled 50 ISIS terror attacks in 20 countries, including Turkey

    Ulitakiwa uijue kwanza historia ya uislam na waislam kisha ndo ujue kwanini baadhi ya waislam wameuingia huo mtego wa ISIS. Hakuna mwanazuoni (scholar) ambaye ameikubali ISIS, kwa maana nyingine viongozi wa waislam wameikataa ISIS ila wapo wale wenzangu na mimi ambao kutokana na ugumu wa maisha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mossad foiled 50 ISIS terror attacks in 20 countries, including Turkey

    I do agree with you.
Back
Top Bottom