Mossad foiled 50 ISIS terror attacks in 20 countries, including Turkey

apewe na nani na alikuta watu wakiishi hapo
Sikia wewe mtu, wana waisrael walipopewa nchi ya kaanani hata kama ilikaliwa wao walipewa na wakaichukua rejea biblia

Waisraeli waitwaa nchi ya Kanaani wakiongozwa na Yoshua. Yehova atumia waamuzi kuwakomboa watu wake kutoka mikononi mwa adui zao

KARNE nyingi kabla ya Waisraeli kuingia Kanaani, Yehova alikuwa ameahidi kwamba wazao wa Abrahamu wangeimiliki nchi hiyo. Wakiongozwa na Yoshua, sasa Waisraeli wako tayari kuimiliki Nchi ya Ahadi.

Mungu aliamua Wakanaani wanastahili kuangamizwa. Walikuwa wameijaza nchi mazoea machafu ya ngono na umwagaji wa damu kimakusudi. Hivyo, majiji ya Kanaani yaliyokuwa yametwaliwa na Waisraeli yalipaswa kuharibiwa kabisa.

KUTOKA 3:6-10
6 Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.
7 BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;
8 nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.
9 Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
10 Haya, basi, nitakutuma sasa kwa Farao, ili upate kuwatoa watu wangu, hao wana wa Israeli, katika Misri.
 
ISIS ni wing ya Mossad na CIA na ndiyo maana wapiganaji wa ISIS walikuwa wakipata matibu ndani ya ardhi ya Israel kwa kutibiwa na serikali ya Israel
Hii propaganda tumeikanusha saana humu lkn watetezi wa hii porojo wameshindwa kuitetea. Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumiwa na makafri??
 
ISIS NI KFUPI CHA IZRAEL SECURITY INTELLIGENCE SERVICE...ambayo ndio tafsiri rasmi ya neno MOSASM.

UBISHI NA MABISHANO SITAKI KAMA HUAMINI GOOGLE KWANZA.
 
Hii propaganda tumeikanusha saana humu lkn watetezi wa hii porojo wameshindwa kuitetea. Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumiwa na makafri??
Ulitakiwa uijue kwanza historia ya uislam na waislam kisha ndo ujue kwanini baadhi ya waislam wameuingia huo mtego wa ISIS.

Hakuna mwanazuoni (scholar) ambaye ameikubali ISIS, kwa maana nyingine viongozi wa waislam wameikataa ISIS ila wapo wale wenzangu na mimi ambao kutokana na ugumu wa maisha wamejikuta wameingia kwenye mtumbwi wa vibwengo.

Anyway kama ISIS ingekuwa ni ya waislam, basi hamna mtu angeweza kuizuia wala kuidhibiti maana kumbuka kuna idadi kubwa kiasi gani ya waislam hapa duniani? Na Tanzania jee? Sidhani kama hata wewe ungepata nafasi ya kuja kuandika humu ndani maana inawezekana kuwa boss wako ni muislam pia.
 
ISIS NI KFUPI CHA IZRAEL SECURITY INTELLIGENCE SERVICE...ambayo ndio tafsiri rasmi ya neno MOSASM.

UBISHI NA MABISHANO SITAKI KAMA HUAMINI GOOGLE KWANZA.

Point of correction: SECRET badala ya SECURITY.
 
we waajabu kweli unahitaji Link wakati wewe mwenyewe hujui maaanayake.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We unayejua si ndo uweke Link tujue?? unabumbabumba tu weka ushahidi wa ISIS

Mi naijua hii we leta yako. Kama jambo hujui jaribu kuficha ujinga wako unachekesha watu bure

The downing marks the second drone incident near the joint border between the two Middle Eastern neighbours, with the latest drone falling "adjacent to Israel's border with Lebanon, within Lebanese territory" on 23 October.
A Beirut-based TV channel Al-Mayadeen reported on Thursday that an Israeli Drone had been brought down in Southern Lebanon.
At the moment, there are no official comments from the Israel Defence Forces.

Yaani Waarabu watungue Drone ya Israel wakae kuanzia 23-31 ndo watangaze
hhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D Halafu waite BREAKING NEWS

kajipange tena mzee baba
 
We unayejua si ndo uweke Link tujue?? unabumbabumba tu weka ushahidi wa ISIS

Mi naijua hii we leta yako. Kama jambo hujui jaribu kuficha ujinga wako unachekesha watu bure

View attachment 1249943

Haujajibu nilichomaanisha Bali umejibu ushabiki.

huwezi kuniambia niweke Link maana ya Mossad kwa kiingereza.alafu wakati huohuo unaleta link ya maana ya ISIS kwa kiingereza.

Mimi Sina UBISHI ktk Hilo kwamba ISIS IPO hivyo lakini abbreviations of word ISIS was there before Islamic state of Abuubakari Baghdad.

katika hii dictionary utaona Nini maana ya neno MOSSAD in English jamaa yangu.na kwenye dictionary zingine zimeanza na neno Izrael Secrete Intelligence Service...

Mimi sikubishii yako nawewe naomba usinibishie jamaa yangu.

uliuliza ISIS au MOSSAD mbona hujielewi we jamaa
 
Back
Top Bottom