Recent content by Simon Henry

  1. Simon Henry

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kufuata au kujua kabla sijatuma au kupokea pesa kutoka nje ya nchi kwa Western Union?

    Mambo gani ya kufuata au kujua kabla sijatuma au kupokea pesa kutoka nje ya nchi? Mfano kama kunaongezeko la hela mtu anayotakiwa kutoa au kama kuna ushuru/tax yoyote na nikiasi gani NI JAMBO LA KUELIMISHANA TU WAPENDWA
  2. Simon Henry

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    SIMU YAKO INAWEZA KUPUNGUZA AU KUONGEZA KIPATO CHAKO Kama unatumia simu kubwa yenye WhatsApp na haikuingizii kipato lakn una hamu na una penda kujua jinsi ya kufanya ili uingize kipato . Basi leo nataka nikuoneshe fursa ambayo utaweza kutengeneza pesa zaidi ya 10000 kwa siku kupitia simu yako...
  3. Simon Henry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WHO yalaumu Serikali ya Kenya kwa kuzembea kupima COVID-19

    Tunatawaliwa kiwaki balaa, kisa msaada tu, na vitu vidogo vidogo vingi vinavyoingia Africa kwa jina la msaada..... Inasababisha inchi za Africa ( like Kenya) wako kwenye cold colonialism ,unknowingly :oops::oops: Poleni jirani zetu
  4. Simon Henry

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    Ushauri tu Diploma in IT/ computer science Iko best....
  5. Simon Henry

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

    Ikitokea hivyo bac itapita ya kwamba girls weng ni vyombo vya Starehe havwez 2mika na m2 m1 Hata haistui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Simon Henry

    JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya ujinga na upumbavu

    Mtu mjinga ni yule ambae amekoswa maarifa kuhusu jambo ,neno au tendo fulani . Lakini mtuhuyu anaweza kufundishwa na akaelewa na hata kubadilika Lakini mtu mpumbavu ni yule ambae hajui kama hajui wala hataki kujua wala kuelewa kwamba hajui kwahio hawezi badilika hata kama akiipata elimu hio...
  7. Simon Henry

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nyingine hii hapa LEO NI KESHO ULIO IHOFIA JANA
Back
Top Bottom