Ni mambo gani ya kufuata au kujua kabla sijatuma au kupokea pesa kutoka nje ya nchi kwa Western Union?

Unapotuma uwe na kopi ya kitambulisho cha yule unayemtumia, pia ujue nchi anayoishi na namba ya simu.

Ukishatuma, utapewa risiti ambayo pale juu ina namba zimeanzia na MTCN.
Utamtumia mpokeaji hizo namba MTCN.

Mpokeaji aende na hiyo namba, kitambulisho au passport, resident permit, majina na namba ya simu ya mtumaji ayajue, ataulizwa anapochukua fedha.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Mtumaji ndiye uwa anakatwa wewe unapokea pesa kamili, western union ni expensive tumia njia kama worldremit unapokea hiyo pesa hapo hapo kwenye mpesa tigo pesa au airtel money na ni cheap kwa mtumaji.
 
Mkuu ni scam wa mtandaoni kuna kitu nilitaka kununua sasa jamaa wakahaki mawasilianao yangu akijifanya ndo mhusjmia baada ya kutuma kumbe kuna kitu nimekosea kujaza muamala ukawablocked mpka Leo sijawahi kupata hiyo hela
 
Ni Ngumu kama anapokea pesa mingi, western union anapokea pesa yoyote ile ndani ya dakika 5,
 
Mkuu ni scam wa mtandaoni kuna kitu nilitaka kununua sasa jamaa wakahaki mawasilianao yangu akijifanya ndo mhusjmia baada ya kutuma kumbe kuna kitu nimekosea kujaza muamala ukawablocked mpka Leo sijawahi kupata hiyo hela
Nenda ulikotuma pesa mara nyingi ile pesa isipomfikia mtumiwaji huwa inarudi
 
Kama ni pesa ya madafu tumia send wave dakika sifuri mzigo unaingia kwenye simu yako
Hivi send wave si inafanya within afrika tena kwenye baadhi ya mataifa, yani naongela kwa mtuma na mtumaji maana nilicheck nikaona mtu wa marekani hawezi mtumia mtu wa bongo
 
Hapana hiyo ni world wide, japo kwa India ndo naona hamna, ila state kitu kinadondoka tu kwenye simu
 
Sasa mbona niliona funding source ni mobile wallet kama tigo pesa, mpesa, mtn money haina option ya kuweka card ya bank je mtu aliyeko abroad ataifund vipi? Maana kuna siku nilitaka mtumia mtu pesa yuko ghana nikawa nataka ilink na bank card ikaniambia funding source ni mobile wallet tu,
 
Mmh labda kwao huko, ila unatakiwa udaulod hiyo apps iwe kwenye simu yako hela ikiwa kwenye account yako ya bank unafanya kutransfer tu kuingia kwenye simu ya muhusika unaetaka kumtumia pesa
 
Hapana nilidownload hapa hapa tanzania mpaka leo ninayo kwenye simu ila funding source ilikuwa mobile wallet tena kuna muda ilikuwa sijui ina shida gani. toka siku hiyo sijaijaribu ngoja nije niitest tena nione inakuaje labda kuna kitu nilikosea
 
Ok, mi sina uzoefu wa kutuma bali huwa napokea kwa njia hiyo siku hizi Badala ya western union
 
Back
Top Bottom