Recent content by Simeone

  1. Simeone

    JamiiForums Tanzania USA

    Usimzingatie kwanza ni mwanachama mpya, bila shaka katokea fesibuku.
  2. Simeone

    JamiiForums Tanzania Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

    Na wewe unajisikiaje kila siku jioni au usiku kuoga? yaani unafanya jambo lilelile kuoga kila siku.
  3. Simeone

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Oya mkuu ita waandishi wa habari.
  4. Simeone

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Mkuu ni umeacha hela kizembe, mimi ilishawahi kunikuta na nilifanikiwa kwanza document zinazotakiwa siyo passport tu kama una kitambulisho cha mpigakura na nida utapata hela yako muhimu taharifa za kitambulisho ziendane na taarifa zilizopo 1xbet, namba ya simu siyo lazima iwe na majina sawa...
  5. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kweli ni ngumu! Mtangazaji wa Crown FM apata homa akiwa anawahoji wageni waliomshtukiza studio

    Kwani kutojua au kukosea lugha ambayo siyo yako ni kosa? je wao wanajua kiswahili? bado unaushamba wa lugha mkuu?
  6. Simeone

    JamiiForums Tanzania Ukishakuwa mwenye umri wa miaka 29 hadi 40, ndio utaelewa kindaki ndaki kwa nini wanaume wanajitoaga uhai wao au wengine kugeuka vichaa.

    Ipo, nunua pombe kali nyingi sana kisha kunywa kupita kiasi halafu malizia na sumu, hapo utafia usingizini na wala hutoteseka.
  7. Simeone

    JamiiForums Tanzania Wewe ni nani? Safari ya kujitambua

    Kasongo!
  8. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

    😂😂😂😂
  9. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

    Robert Heriel Mtibeli ni kweli?
  10. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

    Huko shuleni ili mtu awe MTIBELI alipaswa kuwa na vigezo gani?
  11. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

    Ni kwamba post zake huwa ni fikirishi na zinaweza kuwa tiba ya akili kwa baadhi ya watu ila sasa huwa naona anajipaga sifa sana na huo UTIBELI wake yaani ni kama mtu special.
  12. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

    Unamaanisha ni ID ya huyo jamaa anajiita ROBERT MTIBELI?
  13. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

    Hiyo maana we umeitoa wapi?
  14. Simeone

    JamiiForums Tanzania Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

    Kuna huyu mdau wa hapa jamiiforums anapenda sana kutumia neno MTIBELI, utasikia "sheria za kitibeli ni ngumu sana haiwezekani kwa mtu wa kawaida sijui na uongo gani mwingine huko😂" Binafsi namkubali sana huyu jamaa ila umeshawahi kujiuliza UTIBELI ni nini? Sasa leo nimeamua kufuatilia nijue...
  15. Simeone

    JamiiForums Tanzania Mungu hawezi kukuokoa mbele ya Mwanamke aliyeamua kukuangamiza. Unajua ni kwa nini?

    Ni utibeli huo siyo kujiandikia.
Back
Top Bottom