Recent content by Simbamwene

  1. S

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    Hongera sana mkuu, tena kuna kundi la watoto kwenye kona ya serena hotel, linachomoa sana wiper za magari/
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kitanga watamu jamani

    Mkeo yupo chuo cha ngapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na mume

    Pole sana , cha kwanza nenda hospital kaangalie kama hujaumia kwa ndani na huna internal bleeding
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi Kumfikiria Prof. Sospeter Muhongo kama Waziri Mkuu?

    Kwa mujibu wa ufunuo wangu naona PM atakuwa Prof Harrison Mwakyembe au January Makamba.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Stanbic bank hq kuna mwanamke avaa skirt fupi dana hajui kama watu wamefunga?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, Anaitwaje?

    Tenure of State House
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Tumieni busara kubishana bila uelewa hakuwasaidii chochote, IGP maana yake ni Inspector General of Police, na CDF maana yake ni Chief of Defence Forces, nafikiri mtajua kipi ni kipi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Matokeo ya Lushoto haya onekani?
  9. S

    JamiiForums Tanzania December: Mwezi wa Wachaga

    Tunawatikia amani waende kuhesabiwa na kurudi salama, kidogo foleni itapungua.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Yoyote atakae legalise it (Nyabingi) huyo ana kura yangu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nakerwa sana na ujinga wa Watanzania

    Wewe ni mtusi? mpaka ututusi wa Tanzania?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kumuona Daktari Tsh.10,000/=

    Mimi naomba tu na hao madaktari wawe na nidhamu kwa wagonjwa wao, wanapenda sana kudhalilisha wagonjwa wenye jinsia ya kike.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni extra ordinary

    Hawezi kuwa wa kawaida hata siku moja kwa sababu kuwa Rais tu sio kitendo cha kawaida toka uhuru tuna Marais wangapi? Pili ujue kichwani kwako jamaa amezaliwa siku moja na Putin, na wote ni Marais, kitakuwa kichwa cha kawaida?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    Hii mitambo ya kufua Umeme naona imekuwa laana kwa Tanzania, Inabidi itaifishwe tu, TANESCO amiliki yote sababu iliingia kwa njia za panya na pesa zake hazitaacha kutoka kwa njia za panya.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    Tanzania sidhani kama inahitaji wakoloni?
Back
Top Bottom