Dawa ya Mitandao ya simu ni kuwachoma TCRA. ingia tovuti yao, bofya "malalamiko" Jieleze vizuri, kwa kutoa taarifa zinazojitosheleza. Watakurudishia hela yako halali walipoinyofoa bila halali. Niliwatenda Halotel hawatanisahau. Huduma kwa wateja ya Halotel wakajinafikisha kunipigia simu kuhoji...
New member mwenzangu Alatwimika,, jifunze basi toka wajasiriamali waliomo humu namna ya kubandika tangazo ili kupunguza au kuondoa maswali mengi! Naomba majibu ya maswali yafuatayo: Unauza ujazo gani? Kila ujazo ni bei gani? Gharama za usafirishaji juu ya nani?
Ninacho mpendea Magufuli, kashika kwenye mpini. Acacia kashika kwenye makali. Yale Makontena 26 Bandarini silaha tosha ya kumfanya Acacia asifurukute kama alivyoshindwa kufurukuta mara ya kwanza! Kaza kamba Magufuli, Mkombozi wetu wa wanyonge Tanzania. Tunakushukuru, sasa hivi dawa phamarcy bei...
Yaonekana huyu Bwana/Bibi, hajatulia. Alikuwa afanye biashara kwa kutumia advertising ya bure hapa Jamiiforums, lakini anashindwa kuwahudumia wateja. Hata kujibu tu thread za wateja imekuwa kazi kwelikweli kwake. Kwa nini ulilikoroga? Ulinywe!! Tunataka majibu ya maswali yetu.
Huhitaji nauli kwenda majuu ... niambie fani yako nikuelekeze jinsi ya kwenda bila kutoa hata senti tano yako ya mfukoni, isipokuwa gharama za passport tu!
Swali lilikuwa; "Kuna mtu hapa anaabudu kanisani kwa huyu Nabii Suguye?", hayo majibu kuwa, aliwahi kuwa korokoroni, anapata hela na wanawake, sio jibu, ndo maana mitihani mnafeli !!! Mimi naabudu Kanisa la WRM. Kwa taarifa Mungu huwainua waliojikwaa. Mimi nilijikwaa lakini nimeinuliwa. Nabii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.