Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

Sasa kila siku glass 3 umekosea,ni hivi kunywa glass moja asubuhi mapema kabla ya kula chochote,glass moja siku moja,kinachotakiwa ni mkojo wako ule wa kwanza unapohamka asubuhi,kunywa kwa miezi 2 nakuhakikishia unapona kabisa,alafu mkojo unakufanya Uzeeki mapema,
Duh
Kama inatibu uzee ngoja nianze dozi
 
Nna dawa ila nauza nakwambia kabisa...usije pm kulia lia bure
 
Sasa kila siku glass 3 umekosea,ni hivi kunywa glass moja asubuhi mapema kabla ya kula chochote,glass moja siku moja,kinachotakiwa ni mkojo wako ule wa kwanza unapohamka asubuhi,kunywa kwa miezi 2 nakuhakikishia unapona kabisa,alafu mkojo unakufanya Uzeeki mapema,

Kwanin unajiangaisha hivyo?mara unywe mkojo we vp,tiba zipo na kuirejesha afya iliyopotea ni gharama,kama upo sereous nitafute nikupe tiba,usifanye mchezo na afya rafiki
 
Shida kubwa ya nyakati hizi wajasiliamali wa madawa wamefanya iwe vigumu kupata au kujua dawa kwa uhalisia kwa sababu mioyo yao imewaka tamaa na sio uponyaji.......

Dawa ya vidonda vya tumbo ni kufuata ratiba nzuri ya kula na kula kwa wakati.....

Unapopata muda wa kula unatakiwa ule ushibe na na unywe maji ya kutosha kulingana na hitaji lako la kimwili.......

Mimi pia nilikuwa nimeambiwa Nina tatizo Hilo kwenye kusaka uponyaji nikikutana na matapeli waliojaa vitisho na habari kuogofya......

Lakini tabibu mmoja akanipa ushauri huo na leo ni mwaka wa kumi sijanywa dawa yoyote na nakula chochote.....
 
Ipo dawa,ni ya majani,unapona kabisa,ilimponyesha ndugu yangu mmoja,ila tatizo hata yeye haijui,alipewa hiyo dawa Moshi...
 
Shida kubwa ya nyakati hizi wajasiliamali wa madawa wamefanya iwe vigumu kupata au kujua dawa kwa uhalisia kwa sababu mioyo yao imewaka tamaa na sio uponyaji.......

Dawa ya vidonda vya tumbo ni kufuata ratiba nzuri ya kula na kula kwa wakati.....

Unapopata muda wa kula unatakiwa ule ushibe na na unywe maji ya kutosha kulingana na hitaji lako la kimwili.......

Mimi pia nilikuwa nimeambiwa Nina tatizo Hilo kwenye kusaka uponyaji nikikutana na matapeli waliojaa vitisho na habari kuogofya......

Lakini tabibu mmoja akanipa ushauri huo na leo ni mwaka wa kumi sijanywa dawa yoyote na nakula chochote.....
unachokisema ni sahihi, ila huo ni utaratibu mahususi unaotakiwa kufanyika kabla ya kuugua

Ila ukishaugua kinachotakiwa ni tiba kwanza alaf utaratibu huo ndio ufuatwe ili tatizo lisijirudie tena !
 
Na pia kuhusu matapeli na wenye tiba sahihi ni kweli yote yapo, ila kumjua mwenye tiba sahihi km sisi pia ni rahis, km mtu unaamua kutoa tiba bure na kuwataka walotumia waje watoe ushuhuda ni dalili tosha kuwa that man is only the option !
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
Mwambie aende hospitali wakamtibu hectobacter pilory kwanza
 
unachokisema ni sahihi, ila huo ni utaratibu mahususi unaotakiwa kufanyika kabla ya kuugua

Ila ukishaugua kinachotakiwa ni tiba kwanza alaf utaratibu huo ndio ufuatwe ili tatizo lisijirudie tena !
Tiba ni chakula na mwili utaji repair wenyewe
 
nimeangaika San na tatizo ilo ingawa hlikuuisha ila akifata mashart atapona

Kwanza ache kula pilau .maziwa fresh ,mtindi ,soda za passion ,nanasi machungwa asipende pia kula vyakula vilivyolala au kuwekwa nyanya nyingi daga hawafai kbsa ,pia asishinde na njaa na aache mawazo mnk Ni tatizo Sana Sanaa
Hata mahind za kuchoma na nyama za kuchoma zilizoungua Sana siyo nzuri

Pia ajaribu maziwa ya mbuzi wa kisasa nayo pia Ni dawa
Jus zimenianza Tena baada ya kula pilau Mara mbili mfululizo najuta kwann nilitumia pilau nililitamani tu ila Sasa najuta. Mnk naumwa tumbo kweli

Ila Kama anachelewa kula aanze na uji wa mahindi au ulezi Kama anafanya Kaz aandae uji wake angalau vikombe viwili ili kila muda tumbo lisiwe empty

Uji Ni mzur Sana Kama atatumia kbl ya kula chochote

Nilipona na nikawa napiga kvant na konyagi hyo kubwa na bia Kilimanjaro na safari pia nazipenda[emoji23]
 
Duh kuna maziwa ya mbuzi?
Hivi huwa yapo na yanauzwa kabisa? Sijawahi sikia
Ungeambiwa maziwa ya 🐫 je? Lita ya maziwa ya mbuzi Sh elf 4-6! Dawa ya mgonjwa mengi ndoa maana hayapatikani kiurahisi na bei ndo hiyo!!!
 
20220531_132909.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom