Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,575
Taarifa za hivi punde kutoka DW idhaa ya kiswahili, imesema mamlaka ya juu kabisa toka kwa kurugenzi ya fedha ya Barrick imesema haina pesa za kuilipa Tanzania 300$m kama ilivyokubaliwa katika mazungumzo baina ya Tanzania na Barrick hivi karibuni.
Ni habari ya hivi punde kutoka Radio DW ya Ujerumani Leo mchana, idhaa ya Kiswahili.
Hii tuseme ni janja ya makampuni ya kibeberu yanayotumia mbinu nyingi kuzinyonya inchi za kiafrica?.
Zitto Kabwe ahojiwa na kuilaumu Serikali ya Tanzania kuvujisha habari ambayo kimsingi haikuridhiwa na Acacia Jana.
=====
Acacia Mining says cannot pay $300 million to Tanzania upfront
Oct 20 (Reuters) - Gold miner Acacia Mining Plc does not have the ability to make a $300 million payment to the Tanzanian government to resolve a tax dispute, Chief Financial Officer Andrew Wray said on a call with analysts.
Acacia’s majority stakeholder, Barrick Gold, on Thursday reached an agreement with Tanzania that included a $300 million payment by Acacia and splitting of ‘economic benefits’ from operations with the Tanzanian government. (Reporting by Sanjeeban Sarkar in Bengaluru; Editing by Sunil Nair)
Source: Acacia Mining says cannot pay $300 mln to Tanzania upfront
TRA walitoa lile hesabu kama "Assessment" au kusudia la kutoa "Amended Assessment"? nauliza maana kufuta madeni ya kodi nao ni mchakato mwingine kuanzia kujibu hoja za CAG na Bunge kwanini hiyo kodi haikukusanywa.