Natafuta patner nina skills katika utangazaji tufanye kazi

tunage

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
252
168
Habari wakuu
Mimi ni kijana mwenye skills na knowledge katika utangazaji wa vipindi vya TV na REDIO natafuta mtu ambae anavifaa vya video production yani CAMERA na MIC tutengeneze kipindi cha TV tukaombe nafasi kiruke hewani.

Mimi nina ideas na uwezo wakubuni vipindi unique na huyo mtu awe ana skills katika video production na vifaa.

Asanteni
 
Habari wakuu
Mimi ni kijana mwenye skills na knowledge katika utangazaji wa vipindi vya TV na REDIO.natafuta mtu ambae anavifaa vya video production yani CAMERA na MIC tutengeneze kipindi cha TV tukaombe nafasi kiruke hewani...mimi nina ideas na uwezo wakubuni vipindi unique na huyo mtu awe ana skills katika video production na vifaa. Asanteni
eti? unatafuta kazi ama idear mh haya
 
Habari wakuu
Mimi ni kijana mwenye skills na knowledge katika utangazaji wa vipindi vya TV na REDIO.natafuta mtu ambae anavifaa vya video production yani CAMERA na MIC tutengeneze kipindi cha TV tukaombe nafasi kiruke hewani...mimi nina ideas na uwezo wakubuni vipindi unique na huyo mtu awe ana skills katika video production na vifaa. Asanteni
na wakikataa visiruke tunavamia usiku tunawatisha
 
Habari wakuu
Mimi ni kijana mwenye skills na knowledge katika utangazaji wa vipindi vya TV na REDIO.natafuta mtu ambae anavifaa vya video production yani CAMERA na MIC tutengeneze kipindi cha TV tukaombe nafasi kiruke hewani...mimi nina ideas na uwezo wakubuni vipindi unique na huyo mtu awe ana skills katika video production na vifaa. Asanteni
Nitafute kwa namba hii 0754349281
 
Mkihitaji mtu wa kuwafanyia graphics na editing nishtue tuyajenge
 
Back
Top Bottom