Recent content by Simba wa Arusha

  1. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani swala la umri jeshini

    Hapo umri alio nao ina bidi awe na professional ambayo inakuwa ni order. Ila kwa fani zetu za uswahili mtaani age yako na tank yako viendane
  2. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Subira kitu cha muhimu Maandalizi na matunda huwa hayaji haraka. Wa Bongo tukazeee Sio kila siku kulia na serikali. Mana tayari tusha jijengea tabia ya kuishi kwa kutegemea mishahara tuna sota sana. Ridhika Kisha piga kazi. We kila siku utajipa njaa tuu ukiwa unaskiza ya kina mag.'na Mako.
  3. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Picha Mpya ya wolper yazua gumzo mitandaoni.

    Namkubali sana uyu Dada! Maana anamwili mkubwa pia ana umbo zuri.Mana madem wengi wa kibongo wafupi.Dem mzuri lakini mfupi. Au unakuta sa nyengine mwembamba Basi. Lakini hili toto mi naweza honga million
  4. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nembo gani tunaitumia kututangaza?mbali na bendera??

    Nikweli Sanaa inashangaza Taifa kubwa hivi na wasomi kama utitiri hata kwenye sekta ya michezo wapo, tukivaa jezz zetu hatustuki kuwa hakuna nembo ya Taifa na tukabuni. Kwanini timu yetu ya Taifa isiishie ligi ya mchangani
  5. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

    Kwahiyo Snow den amehukumiwa kifungo gani..??? Pia ya faa huyu jamaa wa msamehe ili wa Marekani wa mtumie
  6. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Jamani watu walilalamika kuwa Makonda kataja vidagaa Sasa na hawa je walio tajwa tena sio vidagaa????
  7. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

    Kweli mana pesa ikifika kwetu Basi wale wachini yetu wasio watumishi ndio maisha yana songa
  8. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

    Kwani Lema mke wake kawekwa ndani!!?
  9. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Dollar sasa yafika Tsh 2,300/=. Tuendelee kuisoma namba

    We nahisi nimekustukia kwa kucheza na kalenda ya kazi yako
  10. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Video: Udhalilishaji wa mwanamke kuchapwa viboko hadharani na wanaume, serikali ichukue hatua

    Hivi huyu katenda kosa Gani ndani ya Jamiii
  11. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Video: Udhalilishaji wa mwanamke kuchapwa viboko hadharani na wanaume, serikali ichukue hatua

    Hivi huyu katenda kosa Gani ndani ya Jamiii
  12. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Naishangaa sana jamii kupinga Ushoga na kui entertain mapenzi kinyume na maumbile

    Hapo nime kupata So na kosa linatakiwa liwe na visibitisho vipi...!??
  13. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

    Kaka uliwahi bonga nae!!??
  14. Simba wa Arusha

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

    Nyimbo gani hiyoo boi
Back
Top Bottom