Recent content by simba tupo wengi

  1. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Kiki za Zitto Kabwe zilozofeli kuichafua Serikali ya Magufuli

    Litakuja kwann hakukamatwa mda wote? Why now?
  2. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 42 ana miaka 18 anang'ang'ania nimuoe. Mimi namuona mdogo mno kuwa mke, nahisi atanisumbua

    Kutokana na umri na uzoefu wa maisha Yeye Ndo alitakiwa aombe ushauri si wewe, na ningemshauri aachane na wewe si kwa sababu ya utofauti wa umri bali kwa sababu pamoja na kuwa na umri mkubwa bado huwezi kufanya maamuzi rahisi juu ya kabint ka miaka 18. Ni kwamba Unataka Kumuoa, unaamini si...
  3. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

    Katiba' nchi ya kifalme vs nchi ya mfumo wa uraisi.
  4. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Gambino, Na wakikukuta wewe?
  5. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

    Still bado ni Moja wa maraisi wastaafu wenye wafuasi wengi ndani ya chama pamoja na madhaifu uliyoyataja. Akitoka hadharani kupigana ndo utaelewa. Sema kapumzika na Hata chuma kilicholetwa na yeye kilishatoa warning kuwa waacheni wastaafu wapumzike.
  6. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

    Hii akili sijaielewa' unachukua bunduki kwenda kupigana na paka halafu ukishamuua unatupa bunduki unachukua kijiko na kuingia Porini kutafuta simba umuue. Mmemalizana na upinzani ambao ni kama paka tu kiupinzani, kwann msipiganie mshikamano ndani ya chama badala ya kuanza kukosoana na...
  7. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu yupo nchini?

    Hatari sana
  8. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

    Wanawake kweli akili zao wanazijua wenyewe maana ni za kijinga sana. Ila usipige
  9. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

    Ndo maana tunasajili line ili tugundulike nani ni nani. Ukicoment kwa lugha isiyofaa au kutabiri mambo kama haya hakikisha unatumia Internet za mtaani Ila kama ni smartphone yako na line yako ya simu....................
  10. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu yupo nchini?

    Kisiasa ameshindwa kweli maana kachakazwa hasa kiasi kwamba hata si Mbunge tena, Ila ki afya yeye ni mshindi. Sasa ww ulikuwa unashindana nae kisiasa au kwa afya yake? Maana wafuasi wake naona wanampongeza kwa kuishinda mauti na wewe unamshambulia kwa kushindwa kisiasa. Tuchukue nafasi hii...
  11. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Hivi Passo 990CC inakulaje mafuta?

    Yaan Passo inakula km12 per lita? Mm nlidhani ka 25 hivi per lita ndo maana vinasifiwa. Kuliko kuteseka kwe hako kagari kwa 12 au 16 per lita bora ufurahie kwe yanayoitwa majini tu ila 8km au 7km per lita. Au ukishindwa hata corolla au premio carina etc.
  12. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

    Ok' huenda kama taifa watawala wanahitaji information zetu zifahamike, tunafanya nn? Wapi? Na nani?. Tatizo ni hiyo deadline. Why? Kwann usingetafutwa mfumo endelevu urenew kwa mfumo huo wa vidole? Kwann tukimbizane na deadline? Line mpya zingeweka na mfumo wa vidole, mtu akipoteza mfumo wa...
  13. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

    Kweli kazi ipo. JPM endelea kunyoosha. Hii nchi vilaza tupo wengi tunatakiwa tunyooke akili zikae sawa
  14. simba tupo wengi

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru: Hakuna ubaguzi mbaya kama wa wanaCCM kubaguana wenyewe, tukikubaini tutakufukuza ukatafute chama kingine!

    Safi sana, Dr ana uchungu sana na hiki chama. Inaonekana alikuwa anakipigania kimya kimya kabla hajapata cheo.
Back
Top Bottom