Tanzania na Barrick zasaini mkataba wa makubaliano. Tanzania kuwa na hisa asilimia 16 na kupata faida ya asilimia 50

pole ndugu kwa redundancy nashangaa shemeji yangu yeye ndo kaajiriwa huko hivi juzi itabidi akae mguu sawa
Ameajiriwa wapi? au anakudanganya, kampuni inapunguza wafanyakazi yeye anakwambia ndio kwanza ameajiriwa !, au ameajiriwa na washoka wa nyamuso ?, hebu mpeleleze
 
Mkubaliano yapi tena?

Yale ya USD 300m au mengine.
Watu tushapewa notice ya kupunguzwa kazi North Mara, sijui tutalisha nini familia.
Kila siku wanakubaliana ila manufaa hayaonekani
Hayo makubaliano bunge la jamuhuri linayajua?

Tusije tukatafuta mchawi badae

Sent using Jamii Forums mobile app
Makubaliano ya Noah zetu au?
Mna mtatizo ya kifikra na mnatawaliwa na utumwa wa mawazo. Poleni sana kwa kuonesha utoto kihoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameajiriwa wapi ?, au anakudanganya, kampuni inapunguza wafanyakazi yeye anakwambia ndio kwanza ameajiriwa !, au ameajiriwa na washoka wa nyamuso ?, hebu mpeleleze
basi yatakuwa mapungufu yake au wanaopunguzwa na yeye wameajiriwa kwa kazi tofauti mwisho wa siku itajulikana tu ikiwa ndio hivyo.sina haja ya kumpeleleza
kuna watu walipunguzwa Geita laini juzi wamerejea kazini tena kwa kifupi kazi za migodini zina changamoto zake
 
Back
Top Bottom