Recent content by silongocapdvilla

  1. silongocapdvilla

    Wenye hoja mbadala dhidi ya nondo za T. Lissu uwanja wenu huu

    Wewe kwahiyo unayepinga serikali tatu unasema hakuna athari kwa sababu zipi maana sikupati ujue!! toa maoni kuhusu zanzibar kuwa na Rais na katiba wakati tanganyika hakuna rais hapo wewe unalionaje hilo mbona magamba mnapinga hata vitu vya msingi,na kama vipi zenji waachieni nchi yao si ndivyo...
  2. silongocapdvilla

    Maajabu ya Tanzania

    Jamani acheni siasa jamani unajua hata nchi ambazo zinakuwa na barafu kama Urusi hapa kila kiangazi bara bara zinakarabatiwa kila mwaka kwa sababu barafu linasababisha bara bara kupasuka pasuka sana kwa hiyo barafu ikiisha layer yote ya juu wanaitoa na kuweka nyingine city centre kote ,so kwa...
  3. silongocapdvilla

    Hakuna nchi ya ajabu kama tz...,

    unasema hakuna nchi ya ajabu kama tz duniani ,,acha kusema uongo kijana hata kwenye maajabu 7 ya dunia hamna sasa tz ipo dunia ipi wewe,
  4. silongocapdvilla

    Ni kweli kuku ana sumu kali kuliko nyoka?

    I was alive when muungano was broken
  5. silongocapdvilla

    Swali: Hivi Kwanini Wanawake Huwa Hampendani?!

    wako sahihi kutopendana wanawake kwa wanawake,wanatakiwa kupendana wanawake na wanaume ,na hata wanaume wanatakiwa kupendana na wanawake ,mie nawapongeza sana kwa hilo,wangependana wanwake kwa wanawake wangeonekana wabaguzi.acheni masuala ya kameruni hapa "Facts are stupid things." I never...
  6. silongocapdvilla

    Mume na mke wazua balaa Bunge la Katiba; Wateuliwa toka Chama kimoja hivyo kukosa sura ya Muungano..

    wote wanaodai posho kuongezwa na kusema kuwa kwa kulipwa posho hiyo itawafanya wasichangie vizuri,na suala la kusema kuwa eti kwanini mtu asiyehudhuria kikao asilipwe hawana akili,sasa atalipwaje posho wakati kikaoni hakuwepo? kama mtu alijua atakuwa busy kipindi hiki kwanini asingesema...
  7. silongocapdvilla

    Jeshi la Rwanda limekuwa likijipanga mpakani, Ndiyo maana Prof Mwandosya alienda kuonana na PK

    wewe unayesema historia isiangaliwe unakosea istoria inasaidia sana katika mengi ujue!!! yule PAKA mwacheni aropoke kadri anavyohitaji ila ipo siku mwenyewe atasema ukweli !! siku zote ukimuona mtu anafanya vituko ambavyo hakuwa navyo awali ujue siku zake za kuishi duniani zinahesabika anatafuta...
  8. silongocapdvilla

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    wengine mnasema kachanganyikiwa mbishieni kwa hoja basi.mbona mnazingua tu,inaonyesha hamjui wapi mlipo.
  9. silongocapdvilla

    Ubora wa juice za Azam una mashaka

    mleta mada unazingua wewe sasa kama tumbo limekuzingua unakuja mtandaoni kufanya nini nenda hospital huwenda ukawa unaumwa mengine tu na sababu sio hiyo juisi wala nini tena wewe mhuni mkubwa kabisa!! wewe kutwa nzima hujala kitu lazima lizingue sema ukweli hujashinda njaaaa wewe leo!!
  10. silongocapdvilla

    Tz kuna bidhaa gani inayotengenezwa yenye ubora kuliko Kenya?

    Mie najua mnaowasifia wakenya ni wale mnaofanya biashara za magendo mipakani tu na hamna kingine kuna watu hapa tumekuwa na hatujawahi kutumia chochote kila kutoka kenya ,na tunafanya maisha freshi tu kama kawaida ,wewe tumia bidhaa unazopenda lkn suala la kusema kenya wanabidhaaa safi kuliko tz...
  11. silongocapdvilla

    List ya mawaziri wetu wanaoweza kuongea fluent english

    wanaoweza kuongea kiingreza wewe unawasifia kivipi bana kwani kujua kingreza lazima? wewe huoni hata marais wanaojielewa/viongozi wanaongea lugha zao kwenye mambo ya kiofisi,usimuone mtu mjanja kwa kujua kuongea ,hapo mhimu kwetu ni yupi anayeweza kuwajibika kwa wananchi kama tunavyohitaji. basi,
  12. silongocapdvilla

    Nataka kugombe urais 2015

    Mwacheni bana agombee Urais kama atakuwa na sifa kuliko wengine basi atakuwa rais wa jamhuri ya muungano au anataka kuwa Rais wa Tanganyika kama itarudi? mwacheni atumie haki yake kama raia wengine bana haina noma atakapogombea na kukosa ndio atajua wapi akajisahihishe,maana sio kila ndoto...
  13. silongocapdvilla

    Tanzania na S.Afrika waombwa kukomesha uasi Sudan Kusini

    Kwanza kabisa ninapenda kulisifia taifa langu/jeshi kwa ujumla ,sawa kwenye masuala ya kulinda amani tumejitahidi sana lkn mkae mkijua sio rahisi kuwa bingwa siku zote ,hivyo tunatakiwa kuangalia aina ya migogoro tukiona tunaweza kuzinguliwa sana tusiende tukaja kushindwa tukapoteza umaarufu...
Back
Top Bottom