Maajabu ya Tanzania

Maajabu ya Tanzania

1397365479742.jpg

attachment.php

attachment.php

NEWS ALERT: DARAJA LA RUVU HALIPITIKI SABABU YA MAJI YA MVUA, MAGARI YAKWAMA ~ EDDY BLOG

we mbebez 'taiti' mbona una shoboz you know!!...
Au ndo kisa umezaliwa bara la giza!
 
Jamani acheni siasa jamani unajua hata nchi ambazo zinakuwa na barafu kama Urusi hapa kila kiangazi bara bara zinakarabatiwa kila mwaka kwa sababu barafu linasababisha bara bara kupasuka pasuka sana kwa hiyo barafu ikiisha layer yote ya juu wanaitoa na kuweka nyingine city centre kote ,so kwa hali hiyo ya ya maji msimlaumu magufuli na kuona kama viwango vya bara bara ni vibovu jaribuni kuanalia hata nchi zilizo endelea ndio ivyo ivyo lkn hamkatazwi kuongea kwani vingine hamjui.
 
Unafikiri hizi mvua zinazoendelea ni za kawaida?? Vitu vingine ni maafa tuelewe hayo. Kwa hiyo waliojenga yale magorofa yalioburuzwa na Tsunami Japan wajapan wangeilaumu serikali yao?

well said,kweli weye greater thinker...window7!
 
Daraja la ruvu halina tatizo. Maji tu yamefurika bondeni. Hatujaambiwa kuwa daraja limekatika. Kama uliona ITV jana maji yalijaa kwenye bonde kule wanakolima mpunga wananchi. Ripoti ya daraja kukatika bado hatujaletewa so it is intact!!!
unakuta daraja linajengwa kwa mabilioni ya pesa na waziri wa ujenzi yupo ila daraja ndani ya miaka isiyozidi 7 lishaanza matatizo kama ilivyo sasa daraja la ruvu.....
 
Back
Top Bottom