Recent content by Siliza

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waafrika Kusini ni watu katili kuliko mnavyodhani

    Mzaramo unakumbuka yaliyowakuta wanyasa Kino na Nyamala? mtu mweusi ni tatizo kwakweli.:tape2:
  2. S

    JamiiForums Tanzania The brutal death of Emmanuel Sithole

    Mwanzo niliwachukia wazungu pekee sasa nawachukia wote, hapa Tz wako upande gani?:frown:
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Sijui hali ya mdudu iko vipi huko Bollywood?:A S confused:
  4. S

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na badoo rubaman wenye kisangakwinyo na Arsenal watafurahi msimu huu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Davutwa anaongea pumba sana, halafu anajiona anajuuaaa!

    Nilipata muda kidogo wa kuwangalia Bw. Davutwa na Mh. Lyatonga kwenye luninga steshion ya ITV wakitema pumba zao. Lyatonga kachoka, alikuwa kama anasinzia huyu tumwache, maana haelewi eliwi hivi. Mh. Davutwa anaongea sana pumba, sitaelezea yote ila kuna pahala nataka nipazungungumzie. Bw...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

    hata wakijua unadhani watafanya chochote? wanapumbazwa na dini na kabila, wanamwona mwenzao, bure kabisa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Karibuni ACT - Tanzania

    nikaribie kutafuta nini?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Huyu mzee EL mtamuua nyinyi!. nakwenye mazishi msiende!Shauri yenu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima, Majambazi wawili Raia wa Italia watiwa Mbaroni

    washtakiwe na nani? JMT au kuna mlalamikaji. Hii post imekaa kimbea sana.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima, Majambazi wawili Raia wa Italia watiwa Mbaroni

    nadhani mleta mada kakurupuka.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hawa jamaa wanahistry ya kurudisha goli tatu hakya nani. lakini poa Gooner for life.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova abadili upepo hujuma ya kumuua Dk Slaa

    Bado napata tabu kuamini Mzee Mangula anahusika hapa!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna shaka kiongozi aliyechaguliwa na wengi ni chaguo la Mungu. Na tutakiona.

    Habari wana JF.Hakuna shaka kiongozi aliyechaguliwa na wengi ni chaguo la Mungu. Mwenyezi Mungu ametuona tulivyo wezi na ametupa kiongozi/viongozi wezi zaidi yetu. Viongozi wa dini wezi,watumishi wa kawaida wezi, raia wezi, wanasiasa ndo mijizi kabisa. Tusipojiratibu wananchi wenzangu tutapata...
Back
Top Bottom