Mungu alikuwa na sababu zake kutuumba rangi nyeusi,tukatawaliwa na kuuzwa kama biliganya, baadae wakatuachia uhuru na baadae tukatawaliwa na ngozi nyeusi wezetu ambao nao hawana huruma zaidi ya kujipendekeza kwa wazungu kila siku.
Yanayotokea South Africa ni kielelezo kuwa hata Wazungu wangetuachia Africa yote, bado roho zetu nyeusi zisingesaidia chochote(rejea mtu anakimbia na mkono wa albino ili afanikiwe maisha).
Ni mawazo yangu binafsi ambayo Mungu angekuwepo ningemuuliza na hata nikifa nikiwa mahakama ya Mungu ntamuuliza kwa nini alituumba kuwa katika hali hii.