Recent content by Siles 01

  1. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo kuhusu nafasi za ajira utumishi

    Wenzio huwa wanasubiri wakati mwingine hadi miezi 6 au mwaka kabisa ndio huitwa interview Hii miezi 3 ni mapema sana!
  2. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta

    Labda kama ni wavamizi lakini kama wanamiliki kihalali na mradi umewakuta Fidia ni Lazima
  3. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

    N Nipo Dsm Lakini nitaenda huko Mwanza karibuni
  4. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

    Nipe mawasiliano ya huyo fundi mbishi na mm nikajaribu kikubwa iwake tu nitoe vitu Vyangu 5A sio simu
  5. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    “Endapo kada moja imesailiwa na majopo zaidi ya moja, matokeo ya majopo yote yataunganishwa na kutengeneza orodha moja kwa kuzingatia alama za ufaulu wa juu mpaka alama ya chini.” Kanuni za uendeshaji shughuli za sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma Utakuta hayo maelezo na mengine...
  6. Siles 01

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

    Poleni sana Kigamboni & WHO
  7. Siles 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Shida ipo kwako Jitathmini!
  8. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa shule ya Green Hill tunaomba majibu yanayoeleweka

    Ni ipi ya secondary au primary ?
  9. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

    Hao vijana wametimuliwa April 2021 magufuli ameshafariki Jitahidi kufatilia mambo kwanza kabla hujaanza kulaumu
  10. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata kibarua

    Ingia rough road ya kuelekea pugu mnadani approximately 700m kutoka stand
  11. Siles 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

    Vp hali yako kwa sasa Unaendeleaje!!
  12. Siles 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Mke wangu anaishi maisha ya kushindana na mimi

    Shida ni wewe sio mwanamke
  13. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    PSU ndio nn jamani
  14. Siles 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa mkeo asipokupenda unafanyaje?

    Ni kuchapa tu huyo mtoto ile awe na adabu
  15. Siles 01

    JamiiForums Tanzania Jennifer Joseph: History Behind Columbia Pictures’ Beautiful Iconic Torch Lady

    yani hapo ndo umemaliza!? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom