Recent content by Sikubali

  1. S

    Kwa nini rahisi kuhesabu makosa kwenye uhusiano

    Mpnz wako akikufanyia kosa linauma sana zile raha zote unasahau kabisa.
  2. S

    KADI ZA CCM zACHOMWA MOTO UDOM

    Ukichoma kadi moto ndo solution?au ndo kikwete ataondoka madarakani?embu acheni upuuzi huo.
  3. S

    Dr Slaa: Lowassa ni sehemu ya matatizo yanayoikabili nchi kwa sasa

    Jamani kwani Lowasa kusema vile ni kosa? Kwani c ukweli serikali imeshindwa kufanya maamuzi magumu ya kumfukuza yeye na wezi wenzake?so Lowasa yupo sahihi2.
  4. S

    Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

    Mmmh! Mheshimiwa vp tena? Au ndo burudani2.
  5. S

    Natafuta ambaye ni kama mimi

    Pole sana ila hawa wachumba wa kuwapata kwny mitandao pia c vizuri,nakushauri kuwa na subira2.
  6. S

    Natafuta Rafiki

    We marafiki wote hawa wa Jf hawatoshi? Km 2pia hilo ombi facebook.
  7. S

    My Birthday!! Today, I Invite you all for my party

    Hongera sana mkuu! Mungu akupe baraka tele na nguvu mpya ya mapambano na life la Tz.
  8. S

    Zizou vs Ronaldinho

    Zidane zaidi.
  9. S

    Slaa, Mbowe waweka wazi mrengo wao wa kikatoliki

    Kwani chadema wote ni wakatoliki? Prof.safari je mkatoliki? Usipende kushabikia udini bwana c vizuri. Thanks.
Back
Top Bottom