Recent content by Sikiliza

  1. S

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

    Nami naomba kuuliza juu ya taaluma ya Mheshimiwa Slaa. Inaonekana alidahiliwa kusoma PhD kwa miaka 4 (1977-1981). Hiyo inakubalika kimataifa. Lakini msingi wangu wa swali ni pale ndani ya hiyo miaka 4 kusoma taaluma 2 tofauti kwa vyuo tofauti lakini shahada and stashahada zote kutolewa mwaka huo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naumwa, mnaonipenda niombeeni dua.

    Pole mkuu. Nakutakia uponyaji wa haraka. Ugua pole.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    Poleni majeruhi, tunawaombea uponyaji wa haraka
  4. S

    JamiiForums Tanzania aliniambia nichague mawili

    Pole sana. Japo inaonekana nawe huyo mme humpendi. Ulikubali kukaa kwa ajili ya watoto. Ushauri wangu ni wewe kuonyesha upenda kwake. Usijali kutokujali kwake mwanzoni, lakini kadri siku zinavyokwenda atarejea hata utashangaa. Ila usiondoke hapo kwani huko utakakokwenda kunaweza kukawa kubaya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Karibu Waziri. Tutajifunza mengi kutoka kwako. Pia huenda nawe utachota hekima kutoka kwetu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania MMU nimefiwa

    Pole Nicas na wafiwa wote. Mungu alitoa na ametwaa Jina lake libarikiwe
  7. S

    JamiiForums Tanzania MMU nimefiwa

    Pole sana kwa msiba huo mkubwa. Mungu awepo moyo mkuu na uvumilivu kipindi hiki kigumu Faraja: Kwa kuwa wa kukuzika bado yeye yuko hai, usiumie sana. Jipe moyo, urafiki wenu bado utaendelea kudumu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    Jamani mbona tunatoa hukumu hata kabla ya kesi kusikilizwa? Haya ni maelezo ya upande mmoja wa utetezi, mbona tunafanya haraka kabla ya kusikia upande wa pili? Kwa maelezo haya natoa majibu ya baadhi ya maswali ambayo kwa hayo hayajatoa mwelekeo wa nani mkweli kati ya pande zote mbili...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mrisho nyuma!

    Asante kwa feedback. Neno msamaha unaoombwa si kusalitiwa bali ni kukubali kurudiana. Kwanza nikupongeze kwa hekima yako iliyodhihirika jinsi unavyolishughulikia suala hili mpaka sasa. Kama moyo wako bado unampenda, mrudie tu lakini baada ya kurijirisha ni mzima kwa kupimwa mara tatu (HIV)...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesi ya Raila Odinga ya Uchaguzi...

    mmm! Mbona hapa naona wanapoteza muda na sababu ya kuchelewa kufungua kesi ya uchaguzi wenyewe! Nafikiri hizo nyaraka si zingeombwa na Supreme court kama vinahitajika au ni lazima wao wavitafute? Kama ni vya kutafutwa, wanaukweli gani kwa hayo wanayoyawaza? Kwa mtizamo wangu naona hapa hakuna...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naiba, nakiri ila sijutii hata kidogo

    Hebu fikiri ndugu yangu, huoni unachezewa akili tu! Iweje huyo dada alidanganyika kwa ushawishi wa huyo mme wake hadi akabadili mawazo na kupoteza mapenzi na ahadi zenu zoote na mwisho akaolewa na huyo mdanganyifu (according to you). Silikiza, hivi wewe unafikiri hayo madhaifu yako yaliotumiwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya msiba wa mama yangu mpendwa.

    Pole Kaka na wanafamilia wote. Mungu awape faraja na matumaini kwa kipini hiki kigumu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Kabla sijakushauri SIKILIZA haya kwanza yanayonihusu mimi: Mimi ni kijana wa kiume mwenye elimu ya PhD, mke wangu ni darasa la 7. Tumekaa pamoja zaidi ya miaka 10 sasa. Tunaishi kwa raha mstarehe wala hatujawahi kuhisi tatizo kutokana na utofauti wa elimu zetu. Katika maisha yangu nimekutana na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna mapenz kweli?

    Hapo hakuna cha kutafakari wala nini, badala yake inawezekana ni kwamba aliyekuwa nae, amemwacha ikabidi arudie shuka wakati kumekucha! Kuwa mwangalifu ndugu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania PICHANI: NAPE akisaidia ujenzi wa shule ya sekondari KASULU! Hizi Pia ni Pesa za CCM?

    Hongera Nape. Umeonyesha unafaa kuwa mwenezi. Sasa tunataraji wengine wafuate ikiwa ndani na nje ya CCM pia.
Back
Top Bottom