Taarifa ya msiba wa mama yangu mpendwa.

Taarifa ya msiba wa mama yangu mpendwa.

Pole Kaka na wanafamilia wote. Mungu awape faraja na matumaini kwa kipini hiki kigumu.
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazia kifo cha mama yangu mpendwa, Telinala Mtambo kilichotokea ghafla asubuhi ya siku ya leo tarehe 12/03/13 jijini Mbeya.

Mazishi yanategemea kufanyika siku ya ijumaa tarehe 15/03/2012, kwa hapa Dar-es-salaam ndugu, jamaa na marafiki wanakusanyikia nyumbani kwangu Kimara kwa ajili ya mipango ya mazishi.

Safari ya kwenda msibani jijini Mbeya itakua kesho tarehe 14/03/13.

Rambi rambi zinakaribishwa.

Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana katika namba za simu zifuatazo: 0717114409/0755312233/0784225000. Amen.

attachment.php

Picha ya baba na mama yangu wiki mbili zilizopita.
E bwana pole sana mkubwa.
 
Back
Top Bottom