Recent content by sikili

  1. S

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Hahaaaa nimeishi mbeya na pia nimeishi dodoma pia vizuri hivi unaweza kulinganisha jiji la mbeya na kwetu dodoma ? Kwa lilivyo jiji la mbeya dodoma bado saana sana Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
  2. S

    SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Ndugu zangu hebu tumalize kwanza hili la msiba then turudi kushikana mashati,nadhani mtukufu keshalisikia vizuri tutamuomba tu avibane vyombo vyake vya ulinzi haki itendeke na si kutafuta namna ya kurusha mpira huko na huko,tena vyombo vyetu vikitenda haki katika hili vitakuwa kwa asilimia...
  3. S

    Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Siamini kama Siro aliwaambia mkaue raia,ninachoweza kujua ni kwamba askari wanapoenda kutuliza ghasia au maandamano watakuwa na silaha za aina ya kuzuia maandamano,kila tukio lina silaha zake ingawaje kunaweza kuwepo nguvu ya ziada zaidi ila kwa mbali sana kujihami kama mambo yatageuka na...
  4. S

    Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Ni rahisi sana kutoa maoni kama hayo sbb aliekufa si ndugu yako,hebu vaa viatu vya wazazi wake,kaka zake,wadogo zake,ndugu zake,rafiki zake kwa ujumla then pata picha akiwa ni binti au dada yako asie na hatia kabisa kapigwa risasi amekufa hapo,hakuwa mwanasiasa,hakuwa anaandamana n.k ! Hapa kuna...
  5. S

    Vikao vya CCM Ikulu: CHADEMA walalamika kanuni kuvunjwa... Wakerwa na kauli za Humphrey Polepole

    Jamani tufanye kazi sasa tuache malumbano yasiyo na tija kama taifa,kama kuna tulipokosea au kupatia basi wananchi wataamua 2020
  6. S

    Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    Yah sure,JK amejitahidi kusomesha wanae na wao pls wasimuangushe,JK ni baba bora.
  7. S

    Nape tulikulalamikia Bunge live, hukusikiliza

    Jamani tumwacheni nape kwanza apumzike kdg
  8. S

    Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

    Dah mtoa mada umenigusa moyo wangu sana,huyu katibu mkuu hajui zile amsha amsha,chama kimepoa mno utadhani TADEA sijui ! Ile nafasi anapwaya sana tena mno.Pls Mbowe mimi ni miongoni mwa wanachama watiifu kwa Chadema naomba badili tena gia angani,katibu wangu anapwayaaaaa mno.
  9. S

    Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

    Membe alikuwa fresh sana,ni aina ya viongozi wanaojiamini na maamuzi yao.
  10. S

    Magufuli: Joseph Mungai asili yake ni Kenya

    Jamani kabla ya kulaumu ni lazima tuwe tunafikiria nini pengine kilimfikisha waziri wa elimu kufuta michezo mashuleni,hali yetu ya elimu ilikuwaje wakati huo ? Na je alijiamulia tu au ni serikali kwa ujumla iliamua ! Inawezekana nia ilikuwa njema ila utekelezaji ukawa mbovu,au kutokana na hali...
  11. S

    Mrejesho kwa waliosafiri na ndege za Bombardier

    Kwa safari fupi na za ndani Ziko vizuri jamani nimepanda toka kigoma kuja dar,tusiziogope
  12. S

    Kauli tata ya Rais Magufuli kuhusu chuo cha N.I.T

    Tatizo sasa hivi watu wanatulia kusikilizia kila hotuba ya rais wachote mabaya tu
  13. S

    Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Maneno mazito mazito sijui kuropoka,kukurupuka hayatatusaidia/hayatamsaidia hata kidogo ! Tukosoe kwa hekima na uzuri wake rais huwa anasoma haya mambo vizuri ! Yeye anatuongoza lkn sisi tunamuongoza yy pia kwa kumkosoa kwa hekima na kumpa namna bora ya kutekeleza kazi zake badala ya kulaumu tu.
  14. S

    Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Magufuli si malaika ! ni binadamu kama wengine ! Anawaza,analala,anakula nk kama wengine tu ! Cha msingi tujaribu kumsoma kiongozi wetu kuwa nini ilikuwa dhamira yake kwenye jambo fulani ! Rais anaweza akawa na dhamira fulani njema juu ya jambo fulani lkn akateleza tu ktk namna kuliwasilisha kwa...
Back
Top Bottom