Recent content by sikafunje.N

  1. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Prof Muhongo asema Mtwara wamekuwa wakitumia umeme wa Kiihansi kwa muda mrefu. Ni kweli?

    Mbona ni kama hiliswala lipo kisiasa siasa zaidi Mtwara na Lindi wanafaidi na wataendelea kufaidi msiwapoteze wahimizeni wapeleke watoto shule, maana hata gesi ikibaki huko litazuka jingine wasipokuwa na elimu hawataajiliwa au wanafikiri watakua wanagawiwa mikate
  2. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Prof Muhongo asema Mtwara wamekuwa wakitumia umeme wa Kiihansi kwa muda mrefu. Ni kweli?

    shida ya mtu aliyesaidiwa ndio hii... yeye kusaidia wenzake inakua ngumu acheni umimi... hongera prof kwa ufafanuzi umeeleweka lkn kwa asiyetaka kuelewa hajaelewa na hataelewa kanyaga twende
  3. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Viongozi CHADEMA mwaka 2013

    Unaujua ustaarabu wewe?? au unachanganya kati ya ustaarabu, unyonge na uoga
  4. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

    mkuu usifanye kosa kuoa bila ridhaa ya wazazi, maana maisha ni zaidi ya watu wawili.. jadilianeni vizuri na mkeo... usitumie jazba swala la muda tu litaamua "time will tell'
  5. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Bonge nyanya

    he ee, wamarekani bana!
  6. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania UDAKU: Wana chit-chat walioko Tanga

    letani picha za matukio jamani
  7. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania kuvaa kofia ya nondos kuna raha yake

    saaaaaana :cheer2:
  8. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Chinua Achebe

    ikemefuna is to go home!
  9. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania What Are the Next States to Legalize Marijuana?

    Kuongeza idadi za mirembe
  10. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Jumba la Mch. Rwakatare nalo libomolewe ili Kuepuka Double Standard!

    mwacheni mama wawatu afaidi vyake! kama umemchangia si nikwa hiyari yako?? acheni majungu
  11. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Mh.Mohammed "mo" Dewji na Mh.Freeman Mbowe,ipe maneno picha hii

    Najua mtachukua nchi 2015, msitutenge brother!
  12. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Ole Wenu JF member Umnaomzengea PRETA

    Hii nimeipenda... full protection
  13. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Soo sad..

    haya mambo uyasikie kwa jirani tu mkuu
  14. sikafunje.N

    JamiiForums Tanzania Sinema ya Kova Kwa Ulimboka Yazidi kunoga,Gwajima na Ulimboka watakuwa mashahidi wa Serikali?

    Uli sio mjinga akakubali kuuza utu wake.... wanaozusha humu ni wale waleeeeeee!
Back
Top Bottom