Mh.Mohammed "mo" Dewji na Mh.Freeman Mbowe,ipe maneno picha hii

Mh.Mohammed "mo" Dewji na Mh.Freeman Mbowe,ipe maneno picha hii

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,150
mo.jpg
 
Mabepari hayo unafikiri wanaongelea nini zaidi ya kupanga mipango ya kukuza mitaji Yao!
 
Mabepari hayo unafikiri wanaongelea nini zaidi ya kupanga mipango ya kukuza mitaji Yao!

Hivi slaa akiwa Rais atamuweza mfanyabiashara mbowe pamoja na wafanyabiashara wenzake kweli?!!!
 
MO anamwambia 2015 sigombei tena ubunge singida mjini sasa ISANGO wa CHADEMA aje tuu agombee jamani.
 
mabepari hayo yameshatoka kwenye maisha ya ukomedi bungeni sasa wako nje kwenye maisha halisi ya kupanga jinsi gani ya ku get more money.
 
Singida yote mtaichukua ninyi mwaka 2015"sijui nifanyeje?nishauri"
 
Back
Top Bottom