kuvaa kofia ya nondos kuna raha yake

kuvaa kofia ya nondos kuna raha yake

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,210
nyerere_receives_second_degree.jpg
Degree ya pil ya mwalimu huko uk
 
Siku hizi kuvaa nondo ndo kuna raha na maana kofia zipo tu mpaka vichochoroni
 
JK amezoea za kupewa "Anazililia kama pipi ya kijiti"...
 
Angekuwa huyu msanii ndo kapata hiyo tungekoma
 
J K (Julias Kambarage)
J K (Jakaya Kikwete)....
Mjina kama yangefanana hv ila sasa utendaj mmmmh.....
 
only black amongst whites..wakina idd amin na bokassa disco hapo nasikia
 
J K (Julias Kambarage)
J K (Jakaya Kikwete)....
Mjina kama yangefanana hv ila sasa utendaj mmmmh.....

Majina hayafanani. Mmoja ni JMK-Jakaya Mrisho Kikwete na mwingine ni
JKN-Julius Kambarage Nyerere. Ukichukua herufi mbili mbili, mmoja ni JM na mwingine ni JK. Ila JM analazimisha kupata ujiko kwa kujiita JK.
 
Back
Top Bottom