Recent content by sijazaliwa

  1. sijazaliwa

    Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    hii ni Kali ya mwaka. Upigaji tz sijui utakwisha lini!
  2. sijazaliwa

    Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

    Hivi kumtongoza mke wa mtu huku ukijua ni mke wa mtu ni kosa kisheria... maana hapa nina kesi nimeletewa nimeshindwa jinsi ya kuihukumu? msaada tafadhali!
  3. sijazaliwa

    Nimepotelewa na kijana wangu anaitwa Armstrong Charles Swai

    Kijana wangu kaondoka nyumbani tangu tar 5/5/2018 majira ya jioni na sijui alipoelekea. Nilikuwa naishi nae Gongo la Mboto - Majohe kwa Ngozoma, kwa atakayemuona naomba anijulishe kwa namba hizi 0655 700138, 0716 048473 na 0652 906246 au aripoti kituo chochote cha polisi. Maeneo mengine...
  4. sijazaliwa

    Wenye Vipasso Tumwage Povu Letu Hapa

    SEMA PASSO NA SIYO VIPASSO. NDO TUANZE KUTOA MAPOVU.
  5. sijazaliwa

    MERERANI, MANYARA: Wizara ya Madini kufanya mnada wa Tanzanite Oktoba 15, 2017

    lazima tuwe na pa kuanzia na wa kuanzisha hata kama tumechelewa... Hongera serikali kwa mwanzo mzuri.
  6. sijazaliwa

    Obama atokwa na machozi alipomfikisha mwanawe chuo kikuu cha Harvard

    personal feeling.... zinasababiswa na mambo mengi... ninachohisi mm ni kuweza kumlea mwanae hadi kufikia hatua ya kufika chuo kikuu.
  7. sijazaliwa

    Msaada: Kwa wale mnaojua shule jeshi tofauti na Makongo na Jitegemee nisaidieni

    Acha uoga wakati unataka kutairiwa..... mtoto umeshindwa kumlea mpeleke hapo KAWAWA ukasaidiwe kukelewa...INGIA MTANDAONI ITAFUTE KAWAWA SC SCHOOL UONE MATOKEO YAKE YA F4 na ya F6. Kuhusu waalimu wapo mchanganyiko... nikutoe wasiwasi wako uliokua nao. waalimu wote wa KIJESHI wana elimu nzuri na...
  8. sijazaliwa

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    wengine hatujasikiliza tutumieni clip tusikilize. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sijazaliwa

    Maajabu ya vumbi la Kongo linavyoleta heshima kwa mpenzio

    Kumridhisha mtu yahitaji kazi sana. achana na mapenzi tu kwa jambo lolote lile... mm nikishakiridhisha na yeye ajiridhishe anavyoweza....... mimi kupoteza masaa kibao eti mtu afike kileleni sina.... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sijazaliwa

    Kuna madhara yoyote kwa jinsia zote kukaa muda mrefu bila kugegedana?

    Ni kweli kabisa... ukidhibiti kuwaza hayo mambo unaweza kukaa hata miaka kadhaaa bila kula mzigoooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sijazaliwa

    Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    ukubwa upi? mbona mnauliza maswali ya kitoto? umri au nini mnataka ili tuwasaidie! unapotaka kulinganisha vitu lazima uwe specific kwenye hitajio lako!
  12. sijazaliwa

    Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Swali lako halina mshiko kwa maana hujaainisha ukubwa upi? umri? ukubwa wa mwili? ukubwa wa madaraka au nini unataka? matatizo ya kukariri shule hata namna ya kuuliza maswali hujui!
  13. sijazaliwa

    Kwanini Wanajeshi wengi wakipewa Mkopo hukimbilia kununua tu Magari na si kujiendeleza Kimaisha?

    We utakuwa under 20! wanajeshi huwajui na hata jkt hujawahi kupita! kama wanalala bure kula bure kusafiri bure kwa nn hujajiuliza why wanunue magari! nyie hamjui hata indicator za maendeleo ni zipi! wakati rais wetu mstafu alipobanwa kuwa nchi haina maendeleo yoyote alijubu angalieni...
  14. sijazaliwa

    Kagera yarudishia pointi 3 zake na magoli 3

    [emoji385] [emoji384] [emoji310] [emoji320] [emoji2] [emoji1] [emoji31] Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  15. sijazaliwa

    Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

    choo kiko nusu kilometa je uadhani mtu atatoka nje kweli kunawa.. ni mwendo wa kijifuta tu... ilastory ya kutengeneza huwa haina mashikooo.
Back
Top Bottom