Nakumbuka kabla jk hajawa JK, Mama Chalma alikuwa mwalimu pale sinza. Kila mwisha wa mwezi,tulipigana vikumbo wilayani kugombea mishahara. Najua kabisa, hali ile hakuipenda, maana ni hatari kwa walimu na ulikuwa ni usumbufu mno. Wakati mwingine walikuwa wanasota kwa masaa kibao, ikibidi kurudi...