Mkuu huwa tunatofautiana sana kwenye maswala mengi ila kwa hili hata mimi binafsi siamini kama kuna waziri anaweza amini ujinga wa akina Mwingira na watu kama hao
Kristo ni kwa Wakristo -bila shaka hatujamuelewa wazir labda ametoa wito kwa Mheshimiwa kubadili dini kwani maombezi ya kutoa mapepo kwa JINA LA YESU hufanya kazi kwa mtu mwenye imani TU
hapo jamaa amemsitili mkulu nadhani hayo mapepo hayamfuati ikulu ila ameingia nayo mwenyewe, ni ya kwake!!! Kumbuka huyu ni waziri anajua mengi ambayo raia wa kawaida hatujui. Sijui itakuwaje siku upangaji wake utakapoisha, namshauri mrithi wake aende moja kwa moja chamwino na hapo magogoni pawe ni sehemu ya makumbusho ya taifa, alternately watu nchi nzima wafunge na kuomba kwa sana kuyafukuza
lukuvi ni kiongozi kihiyo, nawaonea huruma hao wanaomwamini maana hana uwezo wowote katika jambo lolote isipokuwa fitina, ana vitina sana, lakini siku jk akakapomjua kuwa ni mfitini nadhani atamumwaga maana hana tija kwa taifa kama tanzania hebu angalieni ana faida gani,amefanya nini. naturn off
Ukiona hivyou ujue kwisha kaaaaz, nawasihi viongozi wa
CCM woote waanze mchakato wa kupita majimboni kuanzia sasa na kuwaaga watanzania tena kwa kilio cha kwikwi maana ndio kwisha kaaaaz. 2015 hakika hawatarudi tena, tutawafuta rasmi. Angeanza mkuu mwenyewe ingekuwa dili mno. Au vipi wadau?
Tetesi za mabadiliko baraza la mawaziri zimeanza kuwatesa baadhi ya mawaziri; eti kuna mapepo/majini yanamtembelea rais ikulu, unapigwa chini tu kama kazi zako ni umbea umbea tu na ahadi za abunwasi eti hizi karibuni uchumi utakuwa mzuri kwa mkakati upi Lukuvi?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.