Hivi siku hizi unakula maharage ya wapi? Naona taratibu yanapanda kichwani,akina Msiba wapo wengi sana kwwnye hii nchi, Kiufipi Pachal unakera, jnahaibisha na njaa kamwe haitakufikisba sehemu nzuri, jifunze kifumba mdomo..
Wazungu unaowananga unalingana nao kwenye nini???