Paschal Mayalla, Mheshimwa Rais alishakujibu?

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nakumbuka siku ambayo mtukufu rais alipofanya mkutano wa waandishi wa habari, wewe ulialikwa kama mwandishi huru na ulimpongeza sana Gerson Msigwa, mkuu wa kitengo cha habari Ikulu kwa kukualika na ulisema ni mara ya kwanza mwandishi wa style yako kualikwa ikulu,

Ulimuuliza mheshimiwa rais kwamba '' Mamlaka ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, uliquote pia katiba ya nchi sura ya 18, sura inayompa uhuru mwananchi kupata habari, uhuru wa kujieleza, na ulihoji je ni katiba hiyohiyo ndo impa mamlaka mtukufu rais au ni presidential decree? Nadhan mheheshimwa hakukujibu na hukudemand jibu la swali lako,

swali langu kwako ni je ulishapata jibu la swahil hili? nakama mwandishi wa siku nyingi, sababu ambayo imekuwa ikitolewa juu ya katazo hilo ni kwamba watu wafanye kazi,(binafsi haingii akilini kwangu) je wewe inakuingia akilini? je nchi ambazo democracy kwao iko kwa kiwango cha juu sana unadhani hawafanyi kazi? Ghana ambayo ni cnhi ya kwanza Africa kwa kupractise democracy tunalingana nayo kiuchumi?

Kama hujapewa jibu, wew kwa kuhisi kwako unadhani kwa nini mikutano ilikatazwa hali katiba na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu? je ni uvunjaji wa katiba au ni sawa kwa sababu ni neno la mamlaka, kama ni neno la mamlaka ni sheria je mamlaka zipo juu ya sheria au sheria (Katiba) iko juu ya mamlaka?
 
Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,266
3,664
Kimya pia ni jibu..Tena la Hekima..Na angejifanya jasiri kujibu tofauti angeumbuka.. Pascal ameingia kwenye Vitabu vya kumbukumbu Kwa Swali lililompa Kigugumizi Jiwe..Kwa Jibu lile Ilitosha Kujua Msimamo Wa Serikali..Ila Sijui Kama Pascal Mayalla atapata Mualiko Ikulu..Kwa Maswali ya aina hii ..Haha

Sidhani kama toka siku ile Pascal Mayalla amepita tena barabara ya Barack Obama.

Lakini ukitaka kuona umuhimu wa maswali yake ya siku ile angalia tukio la juzi pale Kisutu. Aliuliza pia kuhusu ‘separation of powers’. Juzi Kisutu uliona wabunge walivyokuwa treated (na Bunge lenyewe likiwa kimya hata kutoa tamko au kuingilia kati), Mahakama ikishindwa kufanya kazi yake (waziwazi ikionekana inaminywa) na Magereza (Serikali Kuu??) ikishindwa kutimiza wajibu wake kwa makusudi.
 
SIASA TZ

Senior Member
Feb 19, 2013
130
270
Nakumbuka siku ambayo mtukufu rais alipofanya mkutano wa waandishi wa habari, wewe ulialikwa kama mwandishi huru na ulimpongeza sana Gerson Msigwa, mkuu wa kitengo cha habari Ikulu kwa kukualika na ulisema ni mara ya kwanza mwandishi wa style yako kualikwa ikulu,

Ulimuuliza mheshimiwa rais kwamba '' Mamlaka ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, uliquote pia katiba ya nchi sura ya 18, sura inayompa uhuru mwananchi kupata habari, uhuru wa kujieleza, na ulihoji je ni katiba hiyohiyo ndo impa mamlaka mtukufu rais au ni presidential decree? Nadhan mheheshimwa hakukujibu na hukudemand jibu la swali lako,

swali langu kwako ni je ulishapata jibu la swahil hili? nakama mwandishi wa siku nyingi, sababu ambayo imekuwa ikitolewa juu ya katazo hilo ni kwamba watu wafanye kazi,(binafsi haingii akilini kwangu) je wewe inakuingia akilini? je nchi ambazo democracy kwao iko kwa kiwango cha juu sana unadhani hawafanyi kazi? Ghana ambayo ni cnhi ya kwanza Africa kwa kupractise democracy tunalingana nayo kiuchumi?

Kama hujapewa jibu, wew kwa kuhisi kwako unadhani kwa nini mikutano ilikatazwa hali katiba na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu? je ni uvunjaji wa katiba au ni sawa kwa sababu ni neno la mamlaka, kama ni neno la mamlaka ni sheria je mamlaka zipo juu ya sheria au sheria (Katiba) iko juu ya mamlaka?

Paschal Mayala yupo humu?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,909
287,648
Akikujibu Mkuu nistue sana sana atakuja kumbwela bwela tu huku akilikwepa swali lako kiaina.

Nakumbuka siku ambayo mtukufu rais alipofanya mkutano wa waandishi wa habari, wewe ulialikwa kama mwandishi huru na ulimpongeza sana Gerson Msigwa, mkuu wa kitengo cha habari Ikulu kwa kukualika na ulisema ni mara ya kwanza mwandishi wa style yako kualikwa ikulu,

Ulimuuliza mheshimiwa rais kwamba '' Mamlaka ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, mikutano ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, uliquote pia katiba ya nchi sura ya 18, sura inayompa uhuru mwananchi kupata habari, uhuru wa kujieleza, na ulihoji je ni katiba hiyohiyo ndo impa mamlaka mtukufu rais au ni presidential decree? Nadhan mheheshimwa hakukujibu na hukudemand jibu la swali lako,

swali langu kwako ni je ulishapata jibu la swahil hili? nakama mwandishi wa siku nyingi, sababu ambayo imekuwa ikitolewa juu ya katazo hilo ni kwamba watu wafanye kazi,(binafsi haingii akilini kwangu) je wewe inakuingia akilini? je nchi ambazo democracy kwao iko kwa kiwango cha juu sana unadhani hawafanyi kazi? Ghana ambayo ni cnhi ya kwanza Africa kwa kupractise democracy tunalingana nayo kiuchumi?

Kama hujapewa jibu, wew kwa kuhisi kwako unadhani kwa nini mikutano ilikatazwa hali katiba na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu? je ni uvunjaji wa katiba au ni sawa kwa sababu ni neno la mamlaka, kama ni neno la mamlaka ni sheria je mamlaka zipo juu ya sheria au sheria (Katiba) iko juu ya mamlaka?
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,709
22,020
Ila Sijui Kama Pascal Mayalla atapata Mualiko Ikulu..Kwa Maswali ya aina hii ..Haha
Huo mwaliko aupate mara ngapi? Nilidhani mara moja ilitosha sana na matunda yake mbona tayari yameonekana?

Watu kwa kuzingua hamjambo...mbona tayari Jack Zoka kafanikisha kilichoshindikana na sasa anarudi kusaidia kufunga kazi...hapa kazi tu!
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom