Moja ya sifa kuu ya kiongozi ni kusikiliza sana na kuwa wa mwisho kuongea, hii imekuwa kinyume sana na viongozi wengi sana katika bara la Africa, lakini kuna wakati narudi nyuma na kufikiria juu ya adhabu ambazo wanapewa wana wa Afrika, kuna wakati nawaza na kutoa hukumu kwamba, tunayoyapitia na kuyaona, tunayoyasikia na kukutana nayo ni kengele ya kutuamsha usingizini, tumelala usingizi wa pono, usingizi wenye kila aina ya maudhi, usingizi usiokuwa na viwango, tumelelewa katika misingi yenye utii wa kipuuzi unaopuuza uweza wa mtu mwingine wa kufikiri, misingi yenye kukosa viwango vya utu, na kulazimisha uhalali wa mtu hata kama Mawazo yake ni batili, tumefundishwa nidhamu ya woga yenye kuacha haki za msingi nyuma, tumeelekezwa kuamini katika kiti hata kama aliyekikalia anakosa sifa za msingi za kukikalia, tuna kila sababu ya kuwahi kulikemea hili kabla ya mambo hayajawa mabaya.
Ni Hatari nchi yoyote kuwa na kiongozi mjuaji
Mimi na wewe tunaweza kujiuliza ni kwanini nchi nyingi sana zenye maono na Mawazo endelevu hazikurupuki kuchagua viongozi, zinaamini katika kuwekeza katika kutafuta viongozi wenye akili timamu na wenye uelewa mpana wa mambo, zinaamini kwamba kiongozi hazuki, zinaamini kiongozi ambaye ni zao la mfarakano hawezi kulifikisha taifa sehemu yoyote, kiongozi ambaye ethics zake na integrity yake iko chini hawezi kuliongoza taifa na ndo maana taasisi kama usalama wa taifa zinakuwa mstari wa mbele kufanya screening ya hali ya juu ya mtu husika ili kama anatoka na kuchaguliwa basi awe amekidhi viwango, awe amefundwa, awe anajua miiko ya uongozi kama hekima, usikivu, utu na uungwana.
Tunashuhudia kiongozi mmoja mwenye sifa ya jiwe akijifanya kujua kila kitu wakati maskini hajui lolote au ujuaji wake ni wa kiwango cha chini sana, ninashangaa na kujiuliza je taasisi nyingine zenye Mamlaka ya kumuelekeza zipo likizo au zimefutwa? Mfano, Tangu lini kiongozi wa kisiasa akamasign gavana asiuze Treasury bills/bonds kwa mtu Fulani, je anajua maana ya treasury bills na bonds? Anjua maana ya fiscal policy na monetary policy? Anajua suala la kuregulate na kusimamia financial sector linasimamiwa vp? Anajua kucontrol price stability as a core role ya central bank katika nchi inafanyikaje? Anajua serikali ikitaka kufund expendicture zake inatumiaje hizi bills an bonds? Anajua cenral benki ikiaka kupunguza pesa au kuongeza pesa kwenye mzunguko inakuaje? Anajua kwamba Bills and bonds ni njia mojawapo ya kufanya hizo kazi?
Pili unawezaje kutoka na kuongelea benki Fulani hali gavana ambaye ni mtaalamu wa hiyo field yupo? Unajua banks zinatumia kiasi gani kwenye marketing kutafuta wateja? Destructive language with false information zinaua makampuni kwa kasi kubwa sana, Kwanini ujifanye unajua kila kitu? Authorities za kumfunga break huyu mtu ziko wapi?