Recent content by shuve

  1. shuve

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa mtumishi wa umma kung'ang'ania ofisi huku umestaafu

    Mzee ana mawazo sana tumieni hekima na busara kwa kweli hapo.
  2. shuve

    JamiiForums Tanzania Aliyekaa mahabusu miaka 7 kwa kukisababishia Chuo Kikuu Huria hasara, ahukumiwa

    Miaka saba upepelezi ulikua bado sio? Kuna haja ya kubadili huu utaratibu maana miaka saba na isinge kua haya mabadiliko ya sheria ange kaa zaidi ya hapo maana kuchelewa kwa haki ni chanzo cha kukosa au kunyimwa haki kwa mtuhumiwa alie mahabusu.
  3. shuve

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

    Mwanamke anapo olewa inamaana ameridhia(consent) kufanya tendo la ndoa mda wowote labda Kama ni mgonjwa anaweza kukataa ila la sivyo hawezi kukataa na akikataa basi ni refusal consummation na ina weza kuwa sababisha separation mpaka divorce. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. shuve

    JamiiForums Tanzania Je wajua Sare ya 0-0 Kati ya Madrid na Psg , Madrid anaaga mashindano??

    we jamaa umenifurahisha sana asee
  5. shuve

    JamiiForums Tanzania Je wajua Sare ya 0-0 Kati ya Madrid na Psg , Madrid anaaga mashindano??

    Matokeo ya mwanzo ilikuaje na izo ni rules zipi za soka?
  6. shuve

    JamiiForums Tanzania Wote tumesema kuhusu Tundu Lissu lakini kwa huu wimbo wa Aslay katuzidi!

    Hii single ni kali sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. shuve

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matusi kwa mtongozo wa siku moja tu

    Uache papara kama jogoo hata jogoo anasoma nyakati huenda uli mwambia akiwa kwenye mood mbovu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. shuve

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Elly Macha mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA afariki dunia

    Apumzike kwa aman mama etu mpendwa
  9. shuve

    JamiiForums Tanzania Nauli Arusha - Dar yashuka mpaka shilingi 13,000-15,000

    Tumegoma kusafiri nana sisi
  10. shuve

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    "Uraisi ni punishment na sacrifice" Hayo ni maneno ya JPM
  11. shuve

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Msichana wa Kazi ajinyonga kwa kutumia mtandio hadi Kufa

    Mkuu vipi una maanisha ni hapa??
  12. shuve

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Kama ni upepelezi unaanza na huyu bwana ake.
  13. shuve

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Kwalio Fanya hivyo lkn.
  14. shuve

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Back
Top Bottom