Matusi kwa mtongozo wa siku moja tu

Matusi kwa mtongozo wa siku moja tu

Mtongoze tena zaidi hata ya mara 4 ivi
hata akitukana unajifanya huoni wala kuyasoma hayo matus yake utampata tu

D.A "Mwanaume mashine"
 
Wakuu

Baada ya kila ninampata ni single maza basi nikaamua wikiend iliyoisha nitafute walau mtoto mbishi hapa mtaani ni mwanafunzi wa chuo.

Kama kawaida kaingia 18 zangu nikamuomba namba akakubali kunipa lakini baada ya muda badae kidogo nikaanza kumseduce.

Aiseeee, nilichokutana nacho sijapata ona wala kusikia, nikajiuliza au bado huyu binti ni mtoto?

Inasemekana ndio kamaliza chuo mwaka huu hivyo kwa hakika ni mtu mzima ile nimempa habari za kumtaka tu (mtongozo) alinifurumushia "matusi" sio ya nchi hii.

From nowhere natukwana, nikauliza sababu ni mtongozo tu huu au, bado natumiwa natusi hataree tena ya nguoni.

Hivi hii trick ni mpya, au niendelee na mteremko kwa single maza maana hawanaga izi isue.
Isijekuwa tatizo liko kwako mkuu.. Labda umemlisha matusi mdomoni.. Pia usitumie gia unazotumia kuwapata hao single mama wako kwa viduchu wa kitaa maana mvua kama hizo hazitokukatikia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japokuwa mm ni me lakini naweza kukuongezea mengine zaidi. haiwezekani siku hiyo hiyo unachukua namba na kuanza kutongoza. Men tujaribu kuwa wastaarabu kidogo sometimes!
Nisubiri nini wakati lengo ndio hilo
Tena huyu nilimchelewesha sana mkuu, huwa naomba namba kwa lengo hili tu nao huelewa hivyo ila huyu itakua na pepo
 
una umri gani? siku hizi wnzio hatutongoz...tunahabarishana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha uongo dogo
Demu asoyetongozwa ni kahaba peke yake, but naye hutongozwa kiaina kwa makubaliano ya bei

Hii jf inakudanganya, ingia mtaani uone
Huenda huna dem
 
Nisubiri nini wakati lengo ndio hilo
Tena huyu nilimchelewesha sana mkuu, huwa naomba namba kwa lengo hili tu nao huelewa hivyo ila huyu itakua na pepo

Basi hao unaowapata kwa njia hiyo ni VERY CHEAP!
 
Mkuu mwanamke mwenye matusi unapaswa na wewe uwe mkali zaidi yake....halafu mpotezee.....YUPO DADA MMOJA nilipanda nae kwenye MWENDO KASI ....mtoto ALIKUWA MZURI mno....walikuwa wawili yeye na RAFIKI YAKE....SI unajuwa SIMBA mara nyingi kabla ya KUANZA KUSHAMBULIA anakuwa amesha mchaguwa wa kumla hata kama ZEBRA wawe 490 kati yao anakimbiza yule aiyemuona kanona...basi yule yule mtoto na friend wake wakakaa seat jirani na mimi .....KIDUME nikaanza kurusha ULIMBO kwa yule mtoto mzuri akawa anajibu vzr tu....ikafikia kutoa namba za simu ndy KELELE ZILIPOANZA...yule MWENZIE hakuwa mzuri kama YULE NINAYEMTAKA MIMI....na muda wote km dk 15 hivi YEYE YUPO KMYA TU anasikiliza maongezi YETU...sasa nikawa nambana yule mtoto mzuri kwenye no ya simu na tayari nilikuwa nimesha mzidi nguvu ..maana alikuwa anatabasamu muda wote tu.......MARA YULE mwenzie akadakia kwa sauti..WEWE BABA VIPI? mtu kishakwambiya hataki unamlazimisha nn?huoni hata aibu? Kazi kurukia watoto wa watu kwenye mabasi.....muda huo watu wote wapo kimya wakisikiliza ninavyoporomoshewa matusi...nikaona hapa KIDUME NAADHIRIKA...nikasema sikubali na mimi nikatoa BOMU LA NYUKLIA SASA....nikasema kwa sauti na mimi .....DADA KWAHIYO ULITAKA NISISEME?WEWE UMEJAMBA HAPA.....nakwambiya sio VIZURI KUFANYA HIVYO humu kwenye basi wewe unaongea UPUUZI....sasa kama umejamba nisiseme? Basi zima likageuka UPANDE WETU.....nikaendele mimi naongea na mwenzio wewe unarukia maneno ....TANGIA TUPO ubungo UNAJAMBA TU ....namwambiya mwenzio akukanye UNAPIGA KELELE....basi pale pale nikapata sapoti ya abiria wengine kumsema yule dada ..huku wengine wakiangua kicheko.....yule dada akawa mdogo KAMA KUKU ALIYENYESHEWA NA MVUA......mm nikaendeleza KUTONGOZA YULE MTOTO MZR huku yeye akiwa kimya KWA AIBU YA MWAKA... mwisho yule mtoto nilimpata AKAWA DEMU WANGU na mwenzie akawa shemeji mzuri tu kwangu na hadi leo akikumbuka anacheka sana tu....ANASEMA HALAFU WEWE MSHENZI KWELI KWELI...huku akicheka sn.....kwahiyo mkuu UKIWA MWINDAJI mzuri KUCHOMWA NA MIIBA porini ni sehemu tu ya KAZI.....usikate tamaa.....kutongoza kunataka UVUMILIVU na si kila sehemu unatongoza zipo sehem zingine ni OFF TIMING ....zinahitaji kulazimisha KAMA UNAJIAMINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanaosema siku hizi hawatongozi ni kuwakaribisha geto tu wataitwaje

Hao ndio vya wote au ni watoto sana kiakili bado wana ile akili ya kikombolela. Mwanamke anayejielewa hawezi akakuvumilia eti siku hiyo hiyo umtongoze au akubali, hata kama anakupenda vipi. Tena akikupenda ndo atakuzungusha kiaina usimuone yuko cheap. Hawa watu wana hisia kubwa sana so ni kuhakikisha unazikamata hisia zake kwanza.
 
Mkuu mwanamke mwenye matusi unapaswa na wewe uwe mkali zaidi yake....halafu mpotezee.....YUPO DADA MMOJA nilipanda nae kwenye MWENDO KASI ....mtoto ALIKUWA MZURI mno....walikuwa wawili yeye na RAFIKI YAKE....SI unajuwa SIMBA mara nyingi kabla ya KUANZA KUSHAMBULIA anakuwa amesha mchaguwa wa kumla hata kama ZEBRA wawe 490 kati yao anakimbiza yule aiyemuona kanona...basi yule yule mtoto na friend wake wakakaa seat jirani na mimi .....KIDUME nikaanza kurusha ULIMBO kwa yule mtoto mzuri akawa anajibu vzr tu....ikafikia kutoa namba za simu ndy KELELE ZILIPOANZA...yule MWENZIE hakuwa mzuri kama YULE NINAYEMTAKA MIMI....na muda wote km dk 15 hivi YEYE YUPO KMYA TU anasikiliza maongezi YETU...sasa nikawa nambana yule mtoto mzuri kwenye no ya simu na tayari nilikuwa nimesha mzidi nguvu ..maana alikuwa anatabasamu muda wote tu.......MARA YULE mwenzie akadakia kwa sauti..WEWE BABA VIPI? mtu kishakwambiya hataki unamlazimisha nn?huoni hata aibu? Kazi kurukia watoto wa watu kwenye mabasi.....muda huo watu wote wapo kimya wakisikiliza ninavyoporomoshewa matusi...nikaona hapa KIDUME NAADHIRIKA...nikasema sikubali na mimi nikatoa BOMU LA NYUKLIA SASA....nikasema kwa sauti na mimi .....DADA KWAHIYO ULITAKA NISISEME?WEWE UMEJAMBA HAPA.....nakwambiya sio VIZURI KUFANYA HIVYO humu kwenye basi wewe unaongea UPUUZI....sasa kama umejamba nisiseme? Basi zima likageuka UPANDE WETU.....nikaendele mimi naongea na mwenzio wewe unarukia maneno ....TANGIA TUPO ubungo UNAJAMBA TU ....namwambiya mwenzio akukanye UNAPIGA KELELE....basi pale pale nikapata sapoti ya abiria wengine kumsema yule dada ..huku wengine wakiangua kicheko.....yule dada akawa mdogo KAMA KUKU ALIYENYESHEWA NA MVUA......mm nikaendeleza KUTONGOZA YULE MTOTO MZR huku yeye akiwa kimya KWA AIBU YA MWAKA... mwisho yule mtoto nilimpata AKAWA DEMU WANGU na mwenzie akawa shemeji mzuri tu kwangu na hadi leo akikumbuka anacheka sana tu....ANASEMA HALAFU WEWE MSHENZI KWELI KWELI...huku akicheka sn.....kwahiyo mkuu UKIWA MWINDAJI mzuri KUCHOMWA NA MIIBA porini ni sehemu tu ya KAZI.....usikate tamaa.....kutongoza kunataka UVUMILIVU na si kila sehemu unatongoza zipo sehem zingine ni OFF TIMING ....zinahitaji kulazimisha KAMA UNAJIAMINI

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah
Nimecheka sana aiseee
Kwel dawa ya moto n moto
 
No wonder ulinyimwa namba.
 
Wakuu

Baada ya kila ninampata ni single maza basi nikaamua wikiend iliyoisha nitafute walau mtoto mbishi hapa mtaani ni mwanafunzi wa chuo.

Kama kawaida kaingia 18 zangu nikamuomba namba akakubali kunipa lakini baada ya muda badae kidogo nikaanza kumseduce.

Aiseeee, nilichokutana nacho sijapata ona wala kusikia, nikajiuliza au bado huyu binti ni mtoto?

Inasemekana ndio kamaliza chuo mwaka huu hivyo kwa hakika ni mtu mzima ile nimempa habari za kumtaka tu (mtongozo) alinifurumushia "matusi" sio ya nchi hii.

From nowhere natukwana, nikauliza sababu ni mtongozo tu huu au, bado natumiwa natusi hataree tena ya nguoni.

Hivi hii trick ni mpya, au niendelee na mteremko kwa single maza maana hawanaga izi isue.
Ungejua hakuna wanawake wazuri kama Single Mothers kwani wamepevuka na wana uelewa mkubwa na uzoefu wa mengi.

Wewe unahangaika na vishoia wanaokupa stress...shauri yako
 
Wakuu

Hivi hii trick ni mpya, au niendelee na mteremko kwa single maza maana hawanaga izi isue.

Mkuu usipende kunyanyasa watu kijinsia kuna wengine ni single Maza awakupenda wawe na style hiyo YA maisha walipenda wawe na ndoa na familia Sasa wakakutana na wanaume suruali.. Mwanaume akiambiwa Nina mimbayako anasepa.... Kwa hiyo usipende wenhi Wao sio maisha waliyoyachagua na hali kama ihii inaweza kuja kumpata mwanao wa kike au hata dada kama unae.... Wazazi wengi wakiume wanapo ona binti yake kaleta mchumba nyumbani uwa awaangalii kipato cha mwanaume wanasubiri kuangalia maendeleo Yao katika maisha YA upendo wa kifamilia
 
Japokuwa mm ni me lakini naweza kukuongezea mengine zaidi. haiwezekani siku hiyo hiyo unachukua namba na kuanza kutongoza. Men tujaribu kuwa wastaarabu kidogo sometimes!
Hata kutongoza baada ya nusu saa hakiwezi kuwa tatizo as long as mwanamke/binti huyo ni muelewa.

Unaweza chukua namba ukamtongoza baada ya dakika chache na huyo huyo akaja kuwa Mkeo kabisa.

Wabillah Tawfiq,
 
Aise...na wewe unakuwa comfortable kabisa umekubaliwa baada ya nusu saa tu ya mtongozo?
 
Nilipewa mkuu...yule mtoto hakuwa na noma na mm..yule rafiki yake tu ndy alikuwa tatizo...na baada ya kumrushia bomu la nyuklia akatulia na hakuongea tena hadi nashuka DIT...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha....basi alikuwa hampendi huyo rafiki yake. How come umuaibishe rafiki yake mbele ya watu halafu awe easy on you??
 
Back
Top Bottom