Habari za kazi wana JF
Mimi ni msichana nina miaka 25,ninaishi Dar es salaam,Nina elimu ya kidato cha nne,nilipenda kuendelea na shule ila sikufanikiwa sababu wazazi hawakuwa na pesa za kuniendeleza.....nahitaji msaada kwa atakaeguswa...natafuta kazi yoyote Nina ujuzi na computer japo sijawawahi...