Msaada tafadhali

shuu00

Member
Jan 30, 2017
13
58
Habari za kazi wana JF
Mimi ni msichana nina miaka 25,ninaishi Dar es salaam,Nina elimu ya kidato cha nne,nilipenda kuendelea na shule ila sikufanikiwa sababu wazazi hawakuwa na pesa za kuniendeleza.....nahitaji msaada kwa atakaeguswa...natafuta kazi yoyote Nina ujuzi na computer japo sijawawahi kufanya kazi sehemu yoyote,ila Nina uhakika ninaweza kazi yoyote endapo nitapata maelekezo....
Naombeni kwa anaefahamu chochote kuhususiana na kazi yoyote nipo tayari..
Natanguliza shukrani
Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom