Recent content by Shunda Omary

  1. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Walipohisi kuna gari linawafuata na hawalielewi dereva alitakiwa aelekeze gari cha úsalama sasa kwann dereva aliendelea kupeleka gari nyumbani mahali pasipo na usalama? Hapo kuna masuala ya kujiuliza
  2. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Usiuze kwani kufukuzwa kazi siyo mwisho was maisha utapata shughuli na nyumba utamaliza kujenga
  3. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania Msaada, mtoto wangu hatembei

    Subiri muda wake bado usiwe na hofu
  4. Shunda Omary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adhabu gani ya kumpatia mtu anayetembea na mkeo?

    Mpe pilipili kichaa kilo 2 atafune mpk amalize
  5. Shunda Omary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

    Itel no hovyo
  6. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

    Wanatakiwa wawe karibu na wananchi wao na majimbo yao
  7. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tairi zipi ni Bora na Imara?

    Tairi nzuri ni dunlop ila unaangalia speed ya gari yako usichukue yenye speed ndogo wakati gari yako ina speed kubwa
  8. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walipanga kushindwa Kinondoni pamoja na Siha

    Tatizo la CDM kelele nyingi kwenye kampeni wakati wa kupiga kura wanaingia mitini
  9. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania India: Mtanzania Brayton Lyimo akamatwa uwanja wa ndege akisafirisha Heroin

    Utafutaji huo wa pesa ni hatari unamwacha kiumbe anataabika unasikitisha sana
  10. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Gari hilo linahimili safari kama hizo sina mashaka kabisa
  11. Shunda Omary

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Njoo Tz Moshi nikupe za kutosha
  12. Shunda Omary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Man united tukifungwa na Bunley leo naacha kushabikia mpira msimu huu :Man United 0 Bunley 2 Kipindi cha kwanza

    Man U siyo timu ya kushabikia utaumia roho tu
Back
Top Bottom