Nimekupata vizur sana! Ishu ni kuwa wazalendo wa kulipa madeni kama sisi tunavyosisistizwa kulipa ya TRA Bodi ya mkopo nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawajengea nn kwny mioyo yao hao wanaojitolea ucku na mchana wakat wa mvua na jua kipindi za joto na baridi Leo anarudi nyumbani toka kwny majukumu ya taifa yanayotakiwa uzalendo anakuta mambo yako tofaut!!!!!
Nimependa huu uzi ila wachangiaji wengi humu wanaongelea kwa mlengo wa kidini kitu ambacho sio kweli!!! Mimi ni mmoja ya graduate wa BACHELOR YA BUSINESS pale MUM kozi ambayo nilihama toka IFM kuja MUM yan nilisoma semester moja IFM afu nkachukua matokeo yangu nkahamia MUM (kutokana na costing...
Mwigulu simamia kwenye ukweli na haki kama alivyofanya nape wewe tekeleza wajibu wako ili kesho ukiulizwa na wananchi umefanya nini upate cha kujibu! Wakuu wako ni wananchi japo jukumu umelipata kwa kuteuliwa na MTU moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.