Eneo la kuvuna mawe na kokoto linauzwa

Mar 11, 2017
25
8
Eneo LA hekari 10 lenye mwamba wa mawe lote linauzwa lipo mikese-morogoro na miamba yake ni ile imara inafaa kwa kuvuna mawe kokoto na changalawe na lina kibali yan PML toka wizara ya nishati na madini kwa ajili ya uvunaji wa kokoto na mawe Bei milioni 300 inapungua! Tafuta mteja. Mawasiliano 0713768959
IMG-20170313-WA0051.jpg
IMG-20170314-WA0016.jpg
IMG-20170314-WA0017.jpg
IMG-20170314-WA0019.jpg
 
Duuuuuh kumbe hii kitu ni deal? Mbona mawe kama hayo nimewahi kuyaona kwenye mito na watu wanapasua bure?
 
biashara ya machimbo inahitaji upembuzi yakinifu ikiwa ni pamoja na dipost ya mwamba uliopo, wastani wa tani ngapi, sio mapicha picha tu, unaweza toa 300m ukashindwa hata kupeleka mashine ya 100m
 
biashara ya machimbo inahitaji upembuzi yakinifu ikiwa ni pamoja na dipost ya mwamba uliopo, wastani wa tani ngapi, sio mapicha picha tu, unaweza toa 300m ukashindwa hata kupeleka mashine ya 100m
Yeah ndo mana kwa waliokuwa interested na iyo ishu walishakuja kuchek na taratibu nyngne zinaendelea
 
Back
Top Bottom